Maneno yanayokosewa sana katika matumizi

Maneno yanayokosewa sana katika matumizi

Aya badala ya Haya
Amisi badala ya Hamisi
Abari badala ya Habari
 
Wanatumia wakilisha mahala pa wasilisha na kinyume chake

Pia onyesha mahala pa onesha.
Onesha imetokana na ona na onyesha imetokana na onya
 
Huwa natamani kuziba masikio ninaposikia mtu anachanganya "r" na "l".tatizo hili liko sana kwa wasanii wa maigizo na muziki.pia maneno kama "tunapaswa" na "tunapashwa" wanasiasa huwa wanayachanganya sana sasa sijui hawafaham kama yana tofauti kubwa au vipi.
ukiona hivyo jua hao wabara, hawajatokea kaskazini wala hawajatokea zenji. manake wazenji na wakaskazini hawachanganyi haya maneno, piga ua.
 
Ukata na ukwasi yanawachanganya sana,,ama kupata radhi|kukosa radhi ya wazazi.Wengi hutafsiri kinyume chake.
 
Back
Top Bottom