Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asenti sani (kwa lafudhi ya Bambo) hata mimi nimeipenda sana avatar yako inafanya na mie nikonyeze kukurudishia:-*sign yako nzuri
sign yako nzuri
kuna mdada mmoja alikuwa anaongea na simu kwenye baa anamwambia mwenzake "achana nae huyo mchumba wako mtu mwenyewe mwanaume suruali tu" hilo neno nililiona baya sana kiasi kwamba nilitamani hata kumlarua yule dada ingawa hata sikuwa namjua wala anaeongea naehaya sasa wanaume maneno gani yanawakera wanaume leteni list ya maneno