Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Acha mipasho dadaWatanzania mnapenda maendeleo ila mnawachukia watu wenye maendeleo.
Acha mipasho dada
Singeli nnMbaka sasa,sijasikia chochote kutoka kwa msanii wa singeli man fongo najua alitoa nyimbo lakini nilitegeme atatoa nyimb nyingine yakuizidi haina ushemeji ila mpaka.sasa kimya na huu mziki nao pia upo kimya
ww nawe hujtambui uyo msaga hamuwez hata kidogo manfongoAlikuja kwa mbwembwe akidhan atachukua nafac ya msagasumu kumbe hakujua hata kwa robo hampat
ndiko alikopata maisha huko fiestaAlisema eti Bongofleva watafute kazi nyingine ya kufanya, baada ya kutumika Fiesta chaliiii ndio basi tena