Manfongo mbona kimya

Manfongo mbona kimya

Kama akutengeneza hela na hainaga ushemeji ndio ishatoka hiyo ikirudi pancha.

Na vile anavuta bange tujiandae kupata picha zake akiwa kabaki kichwa akiilaumu Cloud's ndio wamemfanya avute unga.
 
Alisema eti Bongofleva watafute kazi nyingine ya kufanya, baada ya kutumika Fiesta chaliiii ndio basi tena
 
Bada ya Juma nature kusema eti singeli ni mziki wa kihuni wabongo wamegoma kusikiliza hakunaga ushemeji.
 
Hilo song limempa tuzo tuzo unadhani mchezo labda anajipanga atoe song lingine kali zaidi
 
Juma Nature aliposema singeli ni ishu ya kupita walimtukana sana badala ya kumuuliza mkongwe kwann kasema vile!,nlishangaa nlipoona yule bwana mdogo wa iliyokuwa East Coast team aitwaye King Crazy GK alipoudandia mziki wa kipuuz kama ule!
 
Mbaka sasa,sijasikia chochote kutoka kwa msanii wa singeli man fongo najua alitoa nyimbo lakini nilitegeme atatoa nyimb nyingine yakuizidi haina ushemeji ila mpaka.sasa kimya na huu mziki nao pia upo kimya
Singeli nn
 
Back
Top Bottom