Manfongo mbona kimya

Manfongo mbona kimya

Wacha maneno weka mziki

N.B: Ku maintain ni shida kama hauna stamina
 
Kama akutengeneza hela na hainaga ushemeji ndio ishatoka hiyo ikirudi pancha.

Na vile anavuta bange tujiandae kupata picha zake akiwa kabaki kichwa akiilaumu Cloud's ndio wamemfanya avute unga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watu walkua busy n muziki, sasa wamegeukia kwenye moyo sukuma damu ya ditto,
 
Mi na mkubali Msaga sumu na Shoromwamba naona hawachuji japo hawapewi nafasi
 
ndivyo ilivyo kwa homa za usiku.... unaweza ukapata homa had ukajihis kufa kufa ila jua likichomoza unakuwa fiti na unasahau kabisa kuhusu lile jihoma.
Pamepambazuka sasa ni ngumu kuikumbuka homa hiyo iliyotesa taifa zima.
 
Back
Top Bottom