George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Hiyo kitu kuiacha sio JAMBO dogo mkuu..!Ila anaonekana bado hajaacha kutumia kijiti
Oh yeah? Nimekaa AMERIKA toka lini?Tatizo umekaa sana AMERIKA mkuu..!
Panya Road na Watoto Wakabaji wote wana miili ya Kawaida sana..!
Wewe si ndio wakuitwa USA Baby..!?Oh yeah? Nimekaa AMERIKA toka lini?
Watumishi wa umma wanatibiwa bure wao na familia zao mpaka kufa, mshahara mpaka kustaafu na pensheni mpaka kufa na mambo kibao!
Huo muonekano hata asingesema tungejiongeza tu.Mkabaji?
SAHZ ANATOKA NA SHILOLE
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Angenikaba mimi kipindi hicho afu ningemjua ni yeye, na mimi ningemrudishia sasa hivi.
Umeonaee wanyime Ruby wampe yeye si maajabu kapewa vitsClouds wakupe hela zote hizo?!.....wanaumwa!
Acha uwongoSasahivi Manifongo ana pesa chafu ana wazidi hadi watumishi wa umma wanaosubiri mpk mwisho wa mwezi..
Yupo tena ana single mpya "unanitesa shemeji" bonge la ngomaAnaonekana anavuta ganja,halaf mi nampenda msaga sumu yupo wapi mbona kimyaa "haya lowassa huyo ,kipenzi cha watu huyo napenda nyimbo zake
Shishi bbyApambane tuu, ila majigambo kwa nyimbo moja atakufa kibudu, nimemsikia akijigamba bongofleva wajitathmini upya atachukua mashabiki wao.... najiuliza nani atamfata apige nae kolabo!?
milioni 20 zimbabwean dollarJuzi kasaini mkataba wa milioni 20 fiesta
kaimba kawimbo kazuriAnaonekana anavuta ganja,halaf mi nampenda msaga sumu yupo wapi mbona kimyaa "haya lowassa huyo ,kipenzi cha watu huyo napenda nyimbo zake
acha ujinga wewe,mtumishi ana pensheni akizeekaSasahivi Manifongo ana pesa chafu ana wazidi hadi watumishi wa umma wanaosubiri mpk mwisho wa mwezi..
Labda alikuwa anakaba wa das lamHuyo naye alikuwa anamkaba nani? Labda wachuchu ndo alikuwa anawaonea!
Sasa unaanzaje anzaje kuacha!Ila anaonekana bado hajaacha kutumia kijiti