Manfongo: Singeli imeniokoa, nilikuwa mkabaji

Anaonekana anavuta ganja,halaf mi nampenda msaga sumu yupo wapi mbona kimyaa "haya lowassa huyo ,kipenzi cha watu huyo napenda nyimbo zake
kishakunywa sumu baada ya kuasaga wanywaji wakakosa kaamua kunywa mwenyewe
 
Wasanii wa kibongo nao kwa kuiga! kila msanii anakuambia eti sanaa imemuokoa mara alikuwa mkabaji,mara alikuwa jambazi,mara ooh nilikuwa navuta madawa mi huwa siwaamini sana, wengine mbona walikuwa poa tu,hakuna haja kila msanii awe na stori sawa na 50 cent
 
Jamani hiyo style ya mziki wa Man Fongo unaovuma Clouds FM kuliko mziki wowote inaitwaje?
 
Alikuwa ana mkaba nani kwa mfano, singeli ndio nini halafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…