Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,919
- 2,054
Labda wangempeleka kule Rehab wakamcheki nayeeHuyo mambe kimangi hana akili.nadhani anahitaji kufanyiwa uchunguzi na madaktari bingwa wa magonjwa ya akili
Sipati picha Mange alikuwa kwenye hali gani wakati huo wote, alikuwa naye anakunja ngumi au alibaki kuwa mpokeaji tu wa mashuti......no wonder kanabweka sana kakiwa ndani ya geti........kumbe akitoka tu wanasema naye.aaah eeh hyo nsembo, mange alichapwa nusu azimie,cjui kwa nini akumshoot kabisa
😳Kumbe jamaa ameshariport Central tayari, do huyu bwana alimpiga Mange vibao pale Dar Free Market mchana kweupe, katika watu ambao Mange hatawasahau ni Abdul Nsembo. Sasa hivi naona atakua anajiburudisha na zile green tea detox alizokua anauziuza.
Duuh,January akasiliba kabisa mlimbwende akaishia kulala selo, unaambiwa Kinje kusikia Mange Kimambi yuko Oster bay Police hakuamini, alikwenda kuhakikisha kwa macho yake.
Alichapwa haswaaa,mi nilishuhudia hii kitu afu shamim alikuwa pemben kimya anachek movie inavyoendeleaNi normal hawezi hata kusema alipigwa vibao kila akilitamka lile tukio anataja pistol.
Bora la mange limeyumba lako chengaaahahahah Mimi nakushangaa unavyo mshangaa Mange wakati unajua fika dish limeyumba.
Sasa angefanyaje ikiwa wenye chama hawakumtaka na yeye ni mwanasiasa?Siasa haina uadui ki hivyo.atakuwa kama yule wa ACT , alisha win group of people akaamua kuanzisha chama chakee [emoji13]
Hana lolote dish limeyumba tuu.......mbona huyo wema anayejifanya ni mdogo wake anabwia miunga na hamchaniKumuelewa mange kuna hitaji akili ya ziada kidogo na pia uwe ni mfuatiliaji sana wa ligi kuu ZA Ulaya.
Huyu kaadhirika na tabia za wenzetu weupe hana uvumilivu fanya mzuri mia kosea moja kukutoa
tizama jinsi makocha hufukuzwa kwa fedhea ilihali wiki iliyo pita tuu alisifiiwa haswa kwa mafanikio
Hata mimi nakushangaa unavyotumika na mbogamboga kwa kupewa buku 7 ili ueneze propaganda chafu.hahahah Mimi nakushangaa unavyo mshangaa Mange wakati unajua fika dish limeyumba.
Mange mwanaharakati wa madawa ila shost ake kushikwa akaanza kudis harakati....
Dish lake limeanza kuyumba baada ya kampeni kwisha 2015 na kuisaidia ccm kuingia madarakani?hahahah Mimi nakushangaa unavyo mshangaa Mange wakati unajua fika dish limeyumba.
[emoji23] [emoji134]Zimeyumba hazijafikia watu wa ccm....bora mange dish limeyumba ila nyie ccm makarai yametoboka toboka
Yani naskia kinje na mkewe wote wawili wakaenda oysterbay,si kufika katika furaha na mkewe kinje akaswekwa ndani,sijajua sababu ilikuwa nini,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !wana mambo hawa wadada wa mjiniJanuary akasiliba kabisa mlimbwende akaishia kulala selo, unaambiwa Kinje kusikia Mange Kimambi yuko Oster bay Police hakuamini, alikwenda kuhakikisha kwa macho yake.
Hahaaa, watu mna manenoMange yupo kama chai ya rangi akitiwa majani kakolea ....akiwekwa kidogo kafubaa.......
Mjini kuna mambo mkuu wewe acha tu.Yani naskia kinje na mkewe wote wawili wakaenda oysterbay,si kufika katika furaha na mkewe kinje akaswekwa ndani,sijajua sababu ilikuwa nini,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !wana mambo hawa wadada wa mjini