Mange amlipua Shamim mwasha

Mange amlipua Shamim mwasha

aaah eeh hyo nsembo, mange alichapwa nusu azimie,cjui kwa nini akumshoot kabisa
Sipati picha Mange alikuwa kwenye hali gani wakati huo wote, alikuwa naye anakunja ngumi au alibaki kuwa mpokeaji tu wa mashuti......no wonder kanabweka sana kakiwa ndani ya geti........kumbe akitoka tu wanasema naye.
 
Kumbe jamaa ameshariport Central tayari, do huyu bwana alimpiga Mange vibao pale Dar Free Market mchana kweupe, katika watu ambao Mange hatawasahau ni Abdul Nsembo. Sasa hivi naona atakua anajiburudisha na zile green tea detox alizokua anauziuza.
😳

When was that?
 
January akasiliba kabisa mlimbwende akaishia kulala selo, unaambiwa Kinje kusikia Mange Kimambi yuko Oster bay Police hakuamini, alikwenda kuhakikisha kwa macho yake.
Duuh,

Hivi ni kwanini anatukana watu na kugombana nao mitandaoni lakini hakuna hata chombo cha sheria kinacho mkamata?
 
Kuna watu wanashikiliwa kiuhalali na wengine wanashikiliwa kwa kupata kiki tu
 
Ni normal hawezi hata kusema alipigwa vibao kila akilitamka lile tukio anataja pistol.
Alichapwa haswaaa,mi nilishuhudia hii kitu afu shamim alikuwa pemben kimya anachek movie inavyoendelea
 
atakuwa kama yule wa ACT , alisha win group of people akaamua kuanzisha chama chakee [emoji13]
Sasa angefanyaje ikiwa wenye chama hawakumtaka na yeye ni mwanasiasa?Siasa haina uadui ki hivyo.
Pr cure sijui ndilo jina lako?
Pre cure...kitaalamu lina maanisha...kabla ya kupona au kabla ya kupata tiba.Sasa sijui nikuweke wapi!
 
Basis mwenzako vile vibao alijua bastola hihihiii yani huyo mwanamke kichaa, kusema katishiwa bastola wakati watu tuliona wakati anachapwa vibao. Sasa sijui Abdul kakomaa mpaka mwenzetu hakuweza kutofautisha.
 
Kumuelewa mange kuna hitaji akili ya ziada kidogo na pia uwe ni mfuatiliaji sana wa ligi kuu ZA Ulaya.
Huyu kaadhirika na tabia za wenzetu weupe hana uvumilivu fanya mzuri mia kosea moja kukutoa
tizama jinsi makocha hufukuzwa kwa fedhea ilihali wiki iliyo pita tuu alisifiiwa haswa kwa mafanikio
Hana lolote dish limeyumba tuu.......mbona huyo wema anayejifanya ni mdogo wake anabwia miunga na hamchani
 
Shida ya mange ni sifa na followers(ana kampeni ya 1million followers)na anajua team wema ndio anaoweza kuwacontrol kujinufaisha.
Mange mwanaharakati wa madawa ila shost ake kushikwa akaanza kudis harakati....
 
January akasiliba kabisa mlimbwende akaishia kulala selo, unaambiwa Kinje kusikia Mange Kimambi yuko Oster bay Police hakuamini, alikwenda kuhakikisha kwa macho yake.
Yani naskia kinje na mkewe wote wawili wakaenda oysterbay,si kufika katika furaha na mkewe kinje akaswekwa ndani,sijajua sababu ilikuwa nini,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !wana mambo hawa wadada wa mjini
 
Ukiacha mabifu na mashoga zake (ambayo huwa siyafatilii na huwa siyaelewi), huyu dada Mange ana akili sana. Ila siku akitua Bongo namuonea huruma!
 
Yani naskia kinje na mkewe wote wawili wakaenda oysterbay,si kufika katika furaha na mkewe kinje akaswekwa ndani,sijajua sababu ilikuwa nini,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !wana mambo hawa wadada wa mjini
Mjini kuna mambo mkuu wewe acha tu.
 
Back
Top Bottom