mnyonge wa hali ya chini
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 920
- 1,148
Mange akikuchana ndo utasema kuwa dish lake limeyumba lakini kiukweli Mange yupo vizuri sana. Nyie tulieni tu awape vyenu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ya mange ni sifa na followers(ana kampeni ya 1million followers)na anajua team wema ndio anaoweza kuwacontrol kujinufaisha.
Napingana na wewe Mange angetaka followers wengi asingekuwa anablock watu kila siku au kuweka account yake private
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu Mna manenooKama mange dishi limeyumba basi wewe dishi limeanguka kabisa sijawahi ona comment yako yenye maana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuh huyu Mwamvita Makamba nae ana mdomo mkubwa chapati hakunji huyu.. anyway Mange ni mwezi nchanga yule!
[emoji106]Ukiacha mabifu na mashoga zake (ambayo huwa siyafatilii na huwa siyaelewi), huyu dada Mange ana akili sana. Ila siku akitua Bongo namuonea huruma!
Kuna watu mmeoza ubongoKama mange dishi limeyumba basi wewe dishi limeanguka kabisa sijawahi ona comment yako yenye maana
Ona hili naloAna uthubutu!!.
Kuna watu siasa zimewatafunaZimeyumba hazijafikia watu wa ccm....bora mange dish limeyumba ila nyie ccm makarai yametoboka toboka
Mchambe kingine ila mange hataki kuwa bonge alitaka kuna bonge anajuachia na mwili unarudiMaisha haya,lazima achanganyikiwe kutoka hapa
View attachment 469211
Hadi kupauka hiviView attachment 469212
Akili za kenge hiziMange akikuchana ndo utasema kuwa dish lake limeyumba lakini kiukweli Mange yupo vizuri sana. Nyie tulieni tu awape vyenu!
Mchambe kingine ila mange hataki kuwa bonge alitaka kuna bonge anajuachia na mwili unarudi
Dah dunia kazi kweli kweli leo yamemfikahahahah Mimi nakushangaa unavyo mshangaa Mange wakati unajua fika dish limeyumba.
hahahah Mimi nakushangaa unavyo mshangaa Mange wakati unajua fika dish limeyumba.
Lips denda....Duuh huyu Mwamvita Makamba nae ana mdomo mkubwa chapati hakunji huyu.. anyway Mange ni mwezi nchanga yule!
Ukiacha mabifu na mashoga zake (ambayo huwa siyafatilii na huwa siyaelewi), huyu dada Mange ana akili sana. Ila siku akitua Bongo namuonea huruma!