Mange amshambulia Lulu

Nmeenda mahakamani daily hajawahi kulia hata
 
Ila Lulu duuh....mbabe hadi mahakamani alivyokuwa anasukumana na waandishi wa habari
 
Sa @culturegal unanichamba au unanipa fact maana hlo neno kwa taalifa yako sijalielewa
Kuchamba ndio nini??? hilo neno kama lina ukakasi kwangu. lol

Anyway nilikua nakupa fact, umuelewe huyo kigagula mwenye stress za kuachwa matokeo yake kila mtu anamuona mchawi wake.
 
We mama ako anajiuza kwa watu gani kama sio Buguruni? Peleka huko lepwete lako ungejiamini ungeweka jina lako original, sura kama pinda
Naomba nikusamehe maana watu mliopoteza marinda tangu utotoni hua mnahangaika sana.
 
Kama lulu alikuwa mtoto alikuwa anafanya nini kwa kanumba usiku mkali? Watoto wote saa 2 wako makwao.
Alikuwa mtoto watu wazima waka take advantage kwa mtoto mdogo maana mtoto mdogo rahisi kudanganyika...
Sawa na vile vitoto vya babu seya tu
 
Kuchamba ndio nini??? hilo neno kama lina ukakasi kwangu. lol

Anyway nilikua nakupa fact, umuelewe huyo kigagula mwenye stress za kuachwa matokeo yake kila mtu anamuona mchawi wake.
OK saw ila unajua kwamba huyo unamwita kigagula ana elimu kubwa ambayo awez lala njaa hata kule alipo
 
OK saw ila unajua kwamba huyo unamwita kigagula ana elimu kubwa ambayo awez lala njaa hata kule alipo
Elimu kubwa ya kujiuza Dubai hadi akampata huyo mzungu na kumganda kama ruba hadi kuzaa nae na baadae kutemwa kama Big G ya sh.100 au Elimu kubwa ya kushinda mitandaoni na kutukana watu ili apate followers wengi??

Bro, don't abuse the word ELIMU.
 
Alikuwa mtoto watu wazima waka take advantage kwa mtoto mdogo maana mtoto mdogo rahisi kudanganyika...
Sawa na vile vitoto vya babu seya tu
Nikuombe mkuu usi mention jina la nguva au babu seya koz sjui kama una uhakika kama alibaka
 
Tuache personal issue koz everyone ana weakness zake...tuje kwenye shule ana master's na exposure za kutosha [HASHTAG]#sioNAmtetea[/HASHTAG] ila nakupa nayoyajua
 
Nikuombe mkuu usi mention jina la nguva au babu seya koz sjui kama una uhakika kama alibaka
Unaona kwamba unaongozwa na hisia, unaamini mahakama kuwa itamkuta na hatia lulu ukiamini aliua ila hiyo hiyo mahakama huiamini kwa kilichotokea kwa babu seya.
Sisi watanzania tunakubariana na kitu pale tu kinapokuwa sawa na mapenzi yetu hatuhitaji facts wala evidences..
 
Tuache personal issue koz everyone ana weakness zake...tuje kwenye shule ana master's na exposure za kutosha [HASHTAG]#sioNAmtetea[/HASHTAG] ila nakupa nayoyajua
Hata viongozi wanaoburunda wana PhD lakini hawana exposure na kama wanayo haijawasaidia wanazidiwa na Bakhresa ambaye hata degree hana lakini anafanya vitu vizuri kuliko wao.
Huyu na masters yake toka atoke dubai alikokuwa anafanya kazi bank hiyo masters kaifanyia nini?
 
Tuache personal issue koz everyone ana weakness zake...tuje kwenye shule ana master's na exposure za kutosha [HASHTAG]#sioNAmtetea[/HASHTAG] ila nakupa nayoyajua
Ana Masters ya nini???
Exposure ya kutosha like what???
Thibitisha hapa ili tufahamu sote.

Wadada wote walio State wanajulikana wanachokifanya kasoro yeye, ina maana yeye kazi ya kutukana mitandaoni inamlipa sana hadi akalie vyeti vyake vya masters?? lol

Personal issues wapi, na unajua alikua anaenda kukodi hotel na kupiga picha na video akidai ndio kwake?? mtu aliye elimika anaweza kufanya ujinga kama huo??.

Kishaona alioenda nao wote wana maisha ya kueleweka, aliowaacha huku wana maisha ya kueleweka, akijiangalia yeye yupo vile vile na umri umesonga.

Ndio maana hasira hivyo lakini hana lolote.
 
Kwa nguva hapana nawaza maana sio kila aliye jela kweli amekosa koz kuna swala kubambikiwa kesi
 
Alikuwa mtoto watu wazima waka take advantage kwa mtoto mdogo maana mtoto mdogo rahisi kudanganyika...
Sawa na vile vitoto vya babu seya tu
Akadanganyika kuwepo mitaani saa 6 usiku then kupoteza mawazo coco beach? Come on there’s no excuses. Alishayaanza muda na Kanumba hakuwa wa pili au 3 au 7,
 
Kwa nguva hapana nawaza maana sio kila aliye jela kweli amekosa koz kuna swala kubambikiwa kesi
Sisi watanzania tunakubariana na kitu au mtu kinapokuwa sawa na mapenzi yetu otherwise hatukubari hata kama facts ziko wazi.
Wanaomkubari Mange kuwa ana akili ni noma ndiyo hao hao waliokuwa wanasema ni kichaa na ni muongo kipindi cha kampeni alipokuwa ccm na wengi wanaomkataa sasa ni wale wale waliokuwa wanamkubari kipindi hicho.
Bottom line ni kuwa sometimes ukweli au uongo unategemea mtu anauchukulue kutoka angle gani..
 
@culturegal na @elmagnifico ila yote kwa yote ushaur wa mange kwa lulu ni unafaa yeye anaufanyia kazi last post yake IG siku sita nyuma ameacha show off zake tena
 
Akadanganyika kuwepo mitaani saa 6 usiku then kupoteza mawazo coco beach? Come on there’s no excuses. Alishayaanza muda na Kanumba hakuwa wa pili au 3 au 7,
Mtoto ni mtoto, maana yake mtoto ni vulnerable anaweza danganywa na mtu mzma maana hajakomaa kimaamuzi.
Na ndiyo maana huwezi jitetea eti mlikubariana kufanya mapenzi na mtoto mwenye umri wa miaka 16, hivyo alikubari mwenyewe.
Unakumbuka kile kisa cha akon ambapo mtoto chini ya umri wa miaka 18 alihudhuria show yake ya usiku kwa kudanganya umri wake?
Nani alilaumiwa? Alilaumiwa Akon na waandaaji kwa kutokuwa makini.
Mtoto anaweza kufanya chochote hasa akiwa umri wa balehe, hatutegemei mtu mzima kutake advantage kwa mtoto kisa mtoto ana nyege mshindo.
 
Achen mahakama ifanye kazi yake..naona wajinga weng wanatetea upumbavu wana zani iyo kesi ya mauwaji ni kiki ya kuongelea.ata Kama ni star sharia lazma ifatwe sio kuongea tu et aachiwe kiboya tu kisa ustaa [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…