Sambare
Member
- Jul 1, 2017
- 82
- 52
Hata kama jugde hakuwepo,pale alitakiwa awe makini. Nadhan kesi ilipoanza kumuelemea akili aliipata simu hakuonekana nayo zaidi ya kuweka pozi la huruma na kulia
Hahahaa eti mawakili wa serikali vilazadaah wakiona post hii wabadilike bana wanaitia serikali hasara
Nmeenda mahakamani daily hajawahi kulia hata