Mange amshambulia Lulu

Hv mkuu hiyo 2012 Lulu si alishafikisha miaka 18? na uzuri yy mwenyewe alikiri na birthday party juu? Sasa iweje tena hapa unasema alikua mtoto?
 
Ushaona wapi mwenye elimu kubwa anaomba kuchangiwa pesa ya kula!?? Mwenye elimu kubwa anamchamba mumewe wa ndoa kisa kapewa talaka ushaona wapi.
OK saw ila unajua kwamba huyo unamwita kigagula ana elimu kubwa ambayo awez lala njaa hata kule alipo
 
Hv mkuu hiyo 2012 Lulu si alishafikisha miaka 18? na uzuri yy mwenyewe alikiri na birthday party juu? Sasa iweje tena hapa unasema alikua mtoto?
Baba na mama yake wanasema kazaliwa mwaka 1996, kwa maelezo ya wakili na wanaomfahamu na wazazi wake wanasema alikuwa akidanganya ili awe anaingia club za usiku na apate kuendesha gari maana kalikuwa mapepe.
Alichokifanya lulu cha kudanganya umri siyo kitu cha ajabu Tanzania, kuna wanaoshusha umri wao kama Sitti Mtemvu ili wagombee nafasi flani na kuna wanaopandisha umri wao kama lulu alivyofanya na giggy money.
Hata mimi nilichukua leseni kwa mara ya kwanza kabla ya umri kufika 18, maana tz everything is possible.
 
Hivi huyu mamnge hulipwa mshahara au ni kazi ya kujitolea!?.
 
Hahaha huyo mtoto hajazaliwa 1996 nakataa, mtu akisema 1994 sawa, na ukweli anaujua mwenyewe na hao wazazi wake, kama unaamini kweli alizaliwa 1996 sijui wazazi wake wamethibitisha ungekua ni ww mzazi let's say mwanao ndio Lulu usingefanya any means ili umuokoe? Kama ni mkweli mbona alijichanganya judge alivyohoji kuhusu leseni hapo juzi? Au na hiyo unahisi ameonewa?

Suala la Lulu kuzaliwa 1996 nalikataa kwa nguvu zote sababu enzi hizo anavuma kideoni home kulikua na mtoto wa sister yy amezaliwa 1996 na Lulu alionekana mkubwa kwa umbo na vingine vingi japokua mtadai Lulu amewahi kupata exposure ila ni UONGO KUA LULU KAZALIWA 1996
 

Mbn mmekazania kajichanganya???mbn alijibu vizuri tu mm mwanahabari nilikuwepo..aliulizwa una leseni?? Akasema Ndio umeipata ln akasema baada ya matatzo..ss kajichanganya nn??? Mnashadadia Hata hamkuwepo.
 
Kuna watu wamekalia povu kwa kila jambo aliongealo mange bila kujuwa lina faida gani kwa muhusika ,binafsi hii post ya mange nimeona kama ushauri mzuri kwa Dada lulu coz yupo kwenye wakati mgumu nw so ili mungu amsaidie ni lazima na yy aonyeshe moyo wa huruma kwa familia ya Kanumba na c kujishauwa kwenye media kama vile umeenda kwenye Kesi ya kugawana Mali na mtaraka wako this is stupid,unaonyesha furaha kwenye Kesi ya mauwaji? Halafu unachukulia vitu simple tu! Duh!

Mange mm nakuunga mkono wenye mapovu wakafuwe lkn hakuna ulichoongea kibaya zaidi n ushauri tena kama angeufuata nafikili ungemweka sehemu salama zaidi katika Kesi yako lkn kwa sasa ata mm ningekuwa familia ya kanumba nisingemwachia kalibu
 
Mtoto wa sister wako kuonekana mdogo siyo kigezo cha lulu kutozaliwa mwaka 1996, mimi kuna dogo nimemzidi miaka 9, ila ukiniweka mimi na yeye, yeye anaonekana mkubwa zaidi yangu.
Nina mtoto ana miaka 3, watoto anaoringana nao wanaonekana wadogo sana kwake.
Kwahiyo kupinga alichosema baba na mama yake bila kuwahi kuona cheti chake, wala kushuhudia kuwa mama yake alikuwa mjamzito mwaka 1994 wala hukuwa leba, yani wewe evidence yako imekuwa based kwa kumringanisha na mtoto wa dada yako ni mwendelezo wa tabia ya kitanzania.
Lulu kwanza siku hizi ndo kawa na sura inayoonekana kakua, angalia hizo picha alizopiga uchi uchu kinaonekana kabisa ni kitoto tu kilichokuwa uchi mbele ya midume yenye tamaa...
 
Mbn mmekazania kajichanganya???mbn alijibu vizuri tu mm mwanahabari nilikuwepo..aliulizwa una leseni?? Akasema Ndio umeipata ln akasema baada ya matatzo..ss kajichanganya nn??? Mnashadadia Hata hamkuwepo.
Inawezekana kweli, ila wengi wetu tunapata info hapa JF so tunazichukua kama zilivyo mkuu.
Wape hi Sing'isi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…