Mange amshambulia Lulu

Mange yuko right ,huu nikama ushauri kwa Dada lulu,na ukimsema mange analukia kila jambo basi hata nyie mnae mponda mange ni vihelehele coz hata nyinyi pia ya lulu na mange haiwahusu mwacheni ajibu lulu mwenyewe ,Kesi ya mauwaji na kujitumpia mitandaoni ukitabasamu baada ya kutoka kwenye Kesi what doesn't mean? Yani nijinsi gani lulu anaonyesha kuwa hakuna wakubishana nae on this Kesi ,

Lkn mange amemkumbusha lulu nn anatakiwa afanye na c afanyacho sasa hivi n dharau kwa mama kanumba na familia yake kwa ujumla ingekuwa nchi zingine watu wasingekuwa na haja ya kufatilia Kesi ispokuwa kulipiza kisasi tu sasa bongo atupendi hivyo tunataka hekima na busara itumike ,
Lulu muombe msamaha mama kanumba kwa upumbavu uliufanya siku ile ya Kesi hakuna aliefurahishwa nayo na ile hali plz Fanya hivyo.
 
Kama vip apewe kinachostahiki tu.
Mwisho wa aibu frdheha.
Na malipo ya dharau ni dharau tu ama jeuri but no money wala huruma.
 
Ukweli utabaki hapo hapo yule dem hajazaliwa huo mwaka unaodai.

Wewe mwenyewe umesema ulipata leseni under age tena unasema tz kila kitu kinawezekana alafu inakuaje inakua ngumu kwako kufahamu inawezekana kua Rita wanaweza wakabumba cheti aonekane amezaliwa 1996 kwa madai ya wazazi wake? Hii inachekesha.
 
Kwa hiyo kati yako na wazazi wake unataka tukuamini wewe?
Kuna mtu humu pia kasema alikuwa anaishi karibu na mama yake lulu kipindi ana ujauzito wa lulu mwaka 1995..
Watoto wanazidiana lishe bwana...
 
Kwa hiyo kati yako na wazazi wake unataka tukuamini wewe?
Kuna mtu humu pia kasema alikuwa anaishi karibu na mama yake lulu kipindi ana ujauzito wa lulu mwaka 1995..
Watoto wanazidiana lishe bwana...
Nadhani kama ni lishe mtoto wa sister ndio angekua amemzidi Lulu umbo maana sio kwa maisha yale... hahaha
Uwe na siku njema mkuu wangu
 
Mange akiwa kwenye siku zake huwa hana rafiki,kabla hajawa kwenye siku zake alimtetea sana Lulu. Hatuna haja ya kufuatilia sana kwakuwa tumeshamjua.
 
Hakuna binadamu mwenye haki ya kumnyooshea kidole mwingine,wote tunamadhaifu,huyu mwizi,yule mzinzi,huyu mchoyo,tunapaswa kupeana moyo kuliko kukatishana tamaa,anae hukumu na kutenda haki ni Mungu pekee,tujifunze kuwa wanyenyekevu na tusiopenda maneno.
 
Matusi ni njia mojawapo ya njia za kuwavutia na kuwadhibiti wafuasi na wapinzani wake. Anawatoa ufahamu kwa kuwa
shambulia kwa lugha chafu iliyojaa ufedhuli. She is a control freak.
Yote kwa yote adui mkubwa wa mwanamke ni mwanamke.
 
Hili halitaisha maana watanzania tunapenda ujinga natamani sana Mange asingeniblock walai angenitambua... kidogo tu ukichallenge anakublock if shes that strong na yeye akubali critics.


In short Mange ni housegirl mwenye asiye na kazi u can imagen atakuwa anafikiria nini most of the time.

Sent from my SPH-L720 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana babake mange alifumaniwa Na kuliwa mtungo mpaka akafa kwa aibu. Rungwe hotel.
 
Ukisoma Yale maelezo ya mange yote ni ya kweli hakuna hata moja alilomsingizia, sasa ni kweli kama asemavyo mange tupunguze mahaba na u double standard wetu watanzania na tuache uvivu wa kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…