Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapitia mambo gan ww? Km kafanya kosa hastahili hadhabu kwakuwa ni mtoto? Tafakari we acha uvivu na uzembe Wa kufikirUnajitahidi kubeba mikoba ya warumi
Mwacheni huyo mtoto apumzike unajua ni jinsi gani anapitia kipindi
Ivi lulu anafanya biashara gani inayomwingizia fedha?Anapenda kunyenyekewa na kila mtu,pia ana wivu kwa kila aliyemzidi kwa uzuri na fedha
Mbona haukuja sasa?Ungelijua basi tu[emoji23][emoji23][emoji23],,ngoja nije nikuchekeshee
Natamani nikutukane,,naogopa kubanikwa tuMbona haukuja sasa?
Khaa .. Wewe mwanamke acha uwoga tukutane basiNatamani nikutukane,,naogopa kubanikwa tu
Wewe kiboko leo nimekuamini. Huyu Matola kuna wakati hujibu pumba mpaka unamshangaa na wakati mwingine anatoa point. Kuna wakati huwa nafikiria naye ni fyatu kiasiHahaha poa matola rais wa mashoga
Dawa yao ni kumpasukia na wewe. Kama noma na inakuwa noma. Nimekupenda bureAnajidaisha fyatu ili aogopwe,mie siogopi mtu kwa matusi ya kutype
Haya kakusikiaand about lulu nlikua sijagusia, dada yenu mange angeachia tu ushauri hapo kwamba mdogo wangu liz just chill off the social media for now basi angeeleweka, khaa akaanza kueleza mapungufu ya jinsi wanasheria wanavofanya kazi (laughing out loud)yani huyu dada is a know-it-all as if amepitia hata darasa moja la sheria af na wenzie wana msapoti, sitaki kuwaita lay men ila they aint so far from the title. jamani hakuna mahakama inayo rely kwenye mere opinions za wana jamvi wa instagram or any other social media, mange anakwambia ye angekua wakili wa serikali angegalagala mahakamani smh someone hold her hand and tell her its even a contempt of court to walk in with your noisy foot steps live alone kugalagala jamani muwe mnamsaidia mange mama usipitwe.. watu washamuona akili zake ndo maana wameanza kumtumia fake info end of the day anaonekana muongo(of which sijui if she is not lol) daah mange take it in that sometimes uache yapite tu. we support your movements ila kuna mda unazidi hadi ambao hawajakustukia kwamba unaji console watashtuka sasa.. mdogo mdogo mamie eeh.. haya wale minions wa mange kama nawaona mtakuja kuibua hoja mnazozijua sijui kutetea plz nifkishieni ujumbe kwa psycholgists(maana sie wengine hatujasoma) wamsaidie huyu dada ku recover from the mental breakdown the bullying technique has an end itambidi apone she has a family to watch over. thank you and goodnight
Hiyi inatofauti sana na kijiuza, au kwa hii unadanga mahusihano iliufaidike kwa muda muda angalau, ile ingne nikupata hela papohapo..... AuKuchuna waume za watu
Hiyi inatofauti sana na kijiuza, au kwa hii unadanga mahusihano iliufaidike kwa muda muda angalau, ile ingne nikupata hela papohapo..... Au
Kwa tafsiri hiyo,wote wanajiuza.......Hii ni kujiuza pia. Hakunaga kudanga kwa kuwekeza. Ila kuna kudanga kwa akili na kusiko na akili. Mfano mtu anajiuza kwa elfu 50 kisha anafanya shopping ya elfu 80 hapa hajatumia akili,ila mwenye kutumia akili anaweka 30 kisha 20 matanuzi.