Mange amshambulia Lulu

Unajua msipende ushabiki Wa kijinga, hata km ungekuwa ww Kwenye hiyo familia ya kanumba mambo anayoyapost lulu kwa social media juu ya kesi hii ungekubali kweli? Eti kwakuwa mtoto na anamuonekano mzuri ndio hana makosa? Ukarimu, kujishusha na unyenyekevu ni vitu ambavyo havina gharama, lulu kashindwa nn kipindi chote hiki kwenda kuungana na familia ya kanumba? Msiwe mnashabikia mambo kwa upeo mdogo, tafakar kwa kina na ucropoke tu. Ndio maana hata mambo mengine ni haki yako/yetu ila hatuwez kuyafanyia kazi ili tuondokane na umasikin huu kwakuwa point zenu za kijinga,,,safi mange kwa ushauri uliompa huyu dogo, safi sna
 
Anajidaisha fyatu ili aogopwe,mie siogopi mtu kwa matusi ya kutype
Wewe kiboko leo nimekuamini. Huyu Matola kuna wakati hujibu pumba mpaka unamshangaa na wakati mwingine anatoa point. Kuna wakati huwa nafikiria naye ni fyatu kiasi
 
Kabla jaji hajatoa hukumu inabidi amsikilize Mange anasemaje.. Au mnasemaje? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
the funny part about psychology, ukishajua kuudanganya moyo utasogeza miaka kadhaa ya kuishi of which mange thinks anasogeza ya kwake kwa ku bully watu. the problem is, people think that mange is their hero na hivi nnavoongea wapo watu watapanic kwasbb hawajui ukweli. wengi mmemjua mange 2015 kuja 2017 mostly alipoanza kukamatana na kina mukubwa.tuulizeni tunaomjua since 2004 and back, mange is consoling her heart after a irreparable mental breakdown caused by her divorce. she was going through alot and the only surviving technique she could use ni ku attack watu mitandaoni. i dont even blame her now, mange amemaliza kugombana na kila mtu anaefahamiana nae personally, mnaompa moyo kwenye social media mnataka aendelee kuwafurahisha tu but in real sense you need to understand her situation. 1.vita yake na mkuu wa mkoa fulani eti cause ni kumtaja wema haya vita ikaendaaa, akaanza kui attack serikali, i`m not picking sides ila mange wanted the hero crown to heal her wounds after people laughing at her. 3. amenyima watu maarufu uhuru wa kuishi maisha yao as in ukifanya hivi mange asipopenda action zako utakula za uso and ur cv is deteriorated before the society. mange needs someone to help her psychologically, she is not the superhuman she pretends to be on social media, she cries herself to sleep she is going through alot and she expects every one to take life that way. najua mange you`ll see this tunakuombea upone haraka, mehn you blocked my instagram account after trying to help you smh
 
and about lulu nlikua sijagusia, dada yenu mange angeachia tu ushauri hapo kwamba mdogo wangu liz just chill off the social media for now basi angeeleweka, khaa akaanza kueleza mapungufu ya jinsi wanasheria wanavofanya kazi (laughing out loud)yani huyu dada is a know-it-all as if amepitia hata darasa moja la sheria af na wenzie wana msapoti, sitaki kuwaita lay men ila they aint so far from the title. jamani hakuna mahakama inayo rely kwenye mere opinions za wana jamvi wa instagram or any other social media, mange anakwambia ye angekua wakili wa serikali angegalagala mahakamani smh someone hold her hand and tell her its even a contempt of court to walk in with your noisy foot steps live alone kugalagala jamani muwe mnamsaidia mange mama usipitwe.. watu washamuona akili zake ndo maana wameanza kumtumia fake info end of the day anaonekana muongo(of which sijui if she is not lol) daah mange take it in that sometimes uache yapite tu. we support your movements ila kuna mda unazidi hadi ambao hawajakustukia kwamba unaji console watashtuka sasa.. mdogo mdogo mamie eeh.. haya wale minions wa mange kama nawaona mtakuja kuibua hoja mnazozijua sijui kutetea plz nifkishieni ujumbe kwa psycholgists(maana sie wengine hatujasoma) wamsaidie huyu dada ku recover from the mental breakdown the bullying technique has an end itambidi apone she has a family to watch over. thank you and goodnight
 
Haya kakusikia
 
Hii ni kujiuza pia. Hakunaga kudanga kwa kuwekeza. Ila kuna kudanga kwa akili na kusiko na akili. Mfano mtu anajiuza kwa elfu 50 kisha anafanya shopping ya elfu 80 hapa hajatumia akili,ila mwenye kutumia akili anaweka 30 kisha 20 matanuzi.
Hiyi inatofauti sana na kijiuza, au kwa hii unadanga mahusihano iliufaidike kwa muda muda angalau, ile ingne nikupata hela papohapo..... Au
 
Hii ni kujiuza pia. Hakunaga kudanga kwa kuwekeza. Ila kuna kudanga kwa akili na kusiko na akili. Mfano mtu anajiuza kwa elfu 50 kisha anafanya shopping ya elfu 80 hapa hajatumia akili,ila mwenye kutumia akili anaweka 30 kisha 20 matanuzi.
Kwa tafsiri hiyo,wote wanajiuza.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…