Mange amshambulia Lulu

Mange ni mtu tuliyempa umaarufu sisi wenyewe otherwise sidhani kama ana lolote. Wakati wa uchaguzi 2015 alionyesha mgombea mmoja akiwa amechafua suruali kwa maradhi. Leo hii ni supporter mkubwa wa yule jamaa. Alionyesha kumsapoti Lulu leo anamnanga. Uzuri ni kuwa most informed persons wanam ignore huyu mama au dada sijuiii
 
But Actually Mange Kaeleza Facts katika hali ya Kijamii Lulu was required to share The sympathy Na mama Kanumba Madam Mange Ni maoni Yako Mazuri Kama.kupata nadhani ameyapata
 
Seki ni marehemu Numbisa ?!
 
Mange sio mtu wa kawaida ukimtukana hajali, ukimshauri hajali, kuna saa anaongea point kuna saa ni mashudu tu , mi nimemfollow tu hata ukiniuliza kwanin cjui na kila nikiingia insta namuangalia yeye na millard Ayo tu then naenda kuangali nyumba za themibulder kama tu wengine hapa wapo insta sababu ya mange cjui kanifanyaje
 
Sio seki huyu msanii wa comedy ya akina joti ni mzima na juzi kwenye harus alikua bestman wa joti.

ni seki mwingine jamaa flan hivi alikua na pesa ndefu
Seki ni marehemu Numbisa ?!
 
Akwendreee huko....mara ooh" nimemjua Mange way back 2004, divorce imemvuruga"!?....haya huyo Mange kaachwa 2004?

Duuh hata ajui asemalo
Ningeshangaa, lol! sitaki kujua mwalimu wako wa shule ya msingi alitumia mda gani kukuelewesha vya darasani tu maana unakurupuka kama mahindi ya bisi kikaangoni.ila siku nyingine uwe unamjibu alie comment maana hata huyo uloenda kumdandia hujui kacomment kwa maana gani. so kilichokukera ni kukosekana story ya miaka 13 kati ya kumjua mange and her lately divorce? ndo magonjwa tunayozungumzia cool down kwanza tuliza akili (nacheka kama mazuri yaani)
 
We sio recho miwaya kweli[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…