Mange amshambulia Lulu

MBONA NAONA KAMA KAONGEA UKWELI KWA UPANDE WA REMORSE, KESI NYINGI MAREKANI MEMBER OF JURY WANAANGALIA SANA BEHAVIOR ZA MSHTAKIWA. LULU IN REAL SENSE HAKUPATA MTU WA KUMSHAURI MIAKA YOTE MI 5 ILIYO PITA NA KAMA HAO UNAOWATAJA NDO WASHAURI WAKE BASI ALIINGIA CHOO CHA KIUME
 
Sheria ifuate tu mkondo wake, period!!
 
Umeona eehhhh
 
Huyu huyu mange kanumba alipokufa alimvaa ray kigosi kuwa nahusika na eti kaambiwa na polisi mmoja.
Ray akataka kujitetea akaishia kutukanwa na Mange akijifanya ana taarifa za kiintelijensia.
Mange dishi limeyumba mule hakuna shughuli
 
Mange na ushauri wapi na wapi,kazi yake kutukana tu. Hii kesi mwanzon alisema ray ndo kamuua kanumba
Numbisa kumbe mange hua anashauri kinafiki? Kwa hiyo anamshauri diamond kinafiki na anamshauri zari kinafiki.
 
Mkuu nataman angemchokoza lulu kipindi kesi haijatajwa, insta pasingekalika

Bi Tukinao umachekesha kweli hivi kiandunje Lulu mtoa roho , anauwezo gani wa kuchambana na Mange aliyeshindikana hata kwa rais? Mange hana cha kupoteza hata ukimtukana maana sanasana utarudia yaleyale ya baba ake na kuachwa kwake ambayo wote wanayafahamu...

Lulu bado anamambo mengi sana ambayo watanzania hatuyafahamu ,na tutayafahamu siku akijitia kumchokoza Mange.

Usiwaone wenye akili zao wametulia na kumnyamazia huyo Mange maana wanajiona wana mengi ya kuaibika na kupoteza kuliko Mange
 
Gazeti lote hili bibi usipitwe macho kodoo hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…