Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kanumba alikuwa ni mbakaji tu.Kwanini hamkumchukulia hatua kipindi hicho? Au siku hiyo alivyofariki ndio siku ya kwanza kukutana na huyo binti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanumba alikuwa ni mbakaji tu.Kwanini hamkumchukulia hatua kipindi hicho? Au siku hiyo alivyofariki ndio siku ya kwanza kukutana na huyo binti?
sijui kama yupo ila akikutukana nanunua kesiHahaaa anitukanage tu kwani yupo humu
Mwamba ngoma......Rais wa insta Zari,mange monitar tu wa chekechea
Umeona eehhhhAcha kumlisha maneno mange hakuna sehemu alosema kachukia kuwa karibu na hoyce,,Mange alimshauri vyema akae mbali na media mtu katoka mahakamani anarusha picha insta anatabasamu unadhan ndugu wa kanumba wanamfikiriaje,,Mange kamshauri vyema na kasema ukweli kabisaa
Mbona kamshauri vzr tu lakini!!we unahis mange kakosea kusema vile?!!!Hamna kila mtu anabeba mkoba wake,warumi ana manjonjo yake ambayo sijayafikia hata asilimia moja
Aambiwe bibi usipitwe(mange) yeye kila jambo anarukia jaman
Hana ubavu wa kumjibu mangenitaNa lulu anashindwa kujibu maana mustakabal wa kesi yake bado haujulikani laiti angejua kesi yake yaishaje insta ichechafuka leo
Oooh ntashukuru ila utamuweza sasasijui kama yupo ila akikutukana nanunua kesi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wote mnaomdiss Mange na screenshot alafu nampelekea IG..
"Dada Mange ficha ID yangu maana Jf watanitoa roho"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mange dishi limeyumba mule hakuna shughuliHuyu huyu mange kanumba alipokufa alimvaa ray kigosi kuwa nahusika na eti kaambiwa na polisi mmoja.
Ray akataka kujitetea akaishia kutukanwa na Mange akijifanya ana taarifa za kiintelijensia.
Huruma ipi?!!!Hahaha nawaonaa kuweni na huruma bana. Mange hajashauri ila kaweka chuki mbele
Mkuu nataman angemchokoza lulu kipindi kesi haijatajwa, insta pasingekalika
SwadaktaaaaRais wa insta Zari,mange monitar tu wa chekechea
Hahahaha umeona eheeeTena mchokozeni haswa ili mange atupe ubuyu wa marehemu seki alivyofariki siku ya birthday ya lulu
Bi Tukinao umachekesha kweli hivi kiandunje Lulu mtoa roho , anauwezo gani wa kuchambana na Mange aliyeshindikana hata kwa rais? Mange hana cha kupoteza hata ukimtukana maana sanasana utarudia yaleyale ya baba ake na kuachwa kwake ambayo wote wanayafahamu...
Lulu bado anamambo mengi sana ambayo watanzania hatuyafahamu ,na tutayafahamu siku akijitia kumchokoza Mange.
Usiwaone wenye akili zao wametulia na kumnyamazia huyo Mange maana wanajiona wana mengi ya kuaibika na kupoteza kuliko Mange