Mange amshambulia Lulu

Rais wa insta Zari,mange monitar tu wa chekechea

Hivi Zari zaidi ya kutupia picha insta kuna hoja zozote huwa anachambua hata kama ni pumba tu hadi ulinganishe na Mange ? Zari alinganishwe na Lulu na wengineo wanaopost picha tu za nguo , halafu Mange hadi wazee na viongozi wanamsoma lakini huyo Zari anafuatiliwa na watoto under 20 na mabeki tatu wenye tekno za uwezo wa internet
 
Anaedhani huyo ni mwanaharakati basi nae ni kama yeye,nahisi huwa anapiga kale kammeya ndo kanakomvuruga hadi kujikuta akipost vile vitu tunavyopikiaga ndizi
ila hakuna shida akikua ataacha.
 
Mmmh zari amchambue nani na kwa muda gani wa kupoteza alionao,hiyo kazi ya uchambuzi na matusi juu inawafaa jobless kama mange
 
Back time nilipita youtube nikakutana video ya mzee 1 round (58) alifungwa jela miaka 28 kisa alimpora mchizi wake saa ya gharama 200
Jirani yetu 1 alimuua mtu bila kukusudia akafungwa 18 miak guess what sasa kesho yake yuko mtaani hana hata wasiwasi.
Sisi wazee wa unga robo tutateseka san,,Ungekuta upelelezi bado unaendelea
 
Anaedhani huyo ni mwanaharakati basi nae ni kama yeye,nahisi huwa anapiga kale kammeya ndo kanakomvuruga hadi kujikuta akipost vile vitu tunavyopikiaga ndizi
ila hakuna shida akikua ataacha.

Vipi yule wa jumba kubwa ambavyo hupenda kuropoka nae anatumia mmea?
 
Mange yupo right ila saa nyingine ni utoto anaufanya Lulu should be behaving down kwa familia ya kanumba
 
mkamilifu ni Mungu tu. lakini sisi walimwengu tuna mapungufu lukuki....
 
Mange kachanganya mawili tofauti. Huruma na kuua hayahusiani. Kanumba huenda alijifia kutokana na kuzorota kwa afya yake...Lulu anaweza alikuwa the wrong person in the wrong place with a wrong person.

Kutomjali mama Kanumba siyo ushahidi Lulu aliuwa. Kuua hujulikana na post mortem report siyo hisia kama hizi
 
Sana tuu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…