Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Mange kiboko asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ya huyo mzee aliyepora simu daah iliniuma sana kisa SAA akakaa miaka kibao jelaBack time nilipita youtube nikakutana video ya mzee 1 round (58) alifungwa jela miaka 28 kisa alimpora mchizi wake saa ya gharama 200
Jirani yetu 1 alimuua mtu bila kukusudia akafungwa 18 miak guess what sasa kesho yake yuko mtaani hana hata wasiwasi.
Sisi wazee wa unga robo tutateseka san,,Ungekuta upelelezi bado unaendelea
Abaki na siasa zake, yani akiwa hampendi mtu atamsema mpaka uongo na ubaya watu wake wanaamini kila uongo wake sasa anataka mzushia sijui seki alifia kwa lulu, lengo kumuumiza lulu anasahau kuwa anaumiza familia ya seki pia akiwemo watoto na mjane.She should leave that lil gal alone..... pia aache uongo na unafiki sijui yupoje yule kigagula walai.
Duh hizi mentality kumbe bado zipo za kwamba kila mzungu ana pesa, nilidhani zishaisha...Kweli tena ukizingatia Mange kaolewa na mzungu na ana watoto wa kizungu, hata Magufuli amuingii.
Ndio alimuua ngosha mwenzanguAaah Ngosha mtoto mzuri vile akanyee ndoo?
Nisaidie vielelezo vya kusema lulu anapesa kuliko mange koz mange yeye aonesh what she owns and assets alizonazo kama lulu anavofanya ila najua anahela maana ukifanya money interchange anazomiliki lazma kibongo bongo ziwe nyingiAmin usiamini lulu kamzidi mange kwa fedha. Mange choka mbaya
Ana roho ya kimaskini sana. Cha kustaajabisha ana watu wake ati[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99]Anapenda kunyenyekewa na kila mtu,pia ana wivu kwa kila aliyemzidi kwa uzuri na fedha
Kweli Rais wa Insta....kila leo story hata zisizokuwepoAnavyo vingi,,maubuyu classic yapo pale,ni raisi wa insta
Money gani anazomiliki?Nisaidie vielelezo vya kusema lulu anapesa kuliko mange koz mange yeye aonesh what she owns and assets alizonazo kama lulu anavofanya ila najua anahela maana ukifanya money interchange anazomiliki lazma kibongo bongo ziwe nyingi
Mhhhhhhhh,mambo ya mitandao yanaweza kukutoa uhai!Huyu mtiwa madole huwa hachangii thread yenye page mbili, subili mpaka page ya kumi ndio utamuona Le mtakoz
Nisaidie vielelezo vya kusema lulu anapesa kuliko mange koz mange yeye aonesh what she owns and assets alizonazo kama lulu anavofanya ila najua anahela maana ukifanya money interchange anazomiliki lazma kibongo bongo ziwe nyingi
Lulu anamsomesha mdogo wake,anajenga nyumba,anamiliki duka la nguo
Mange hana mali mkuu,cheki picha zake alivyopauka hapo anategemea pesa za child support na misaada ya hao follower wake wa insta
Mange ni bigmind kama mimi despite hiyo mitusi, ila ni kati ya wanawake wenye akili kubwa sana..!Anapenda kunyenyekewa na kila mtu,pia ana wivu kwa kila aliyemzidi kwa uzuri na fedha