Mange amshambulia Lulu

Hiyo ya huyo mzee aliyepora simu daah iliniuma sana kisa SAA akakaa miaka kibao jela
 
She should leave that lil gal alone..... pia aache uongo na unafiki sijui yupoje yule kigagula walai.
Abaki na siasa zake, yani akiwa hampendi mtu atamsema mpaka uongo na ubaya watu wake wanaamini kila uongo wake sasa anataka mzushia sijui seki alifia kwa lulu, lengo kumuumiza lulu anasahau kuwa anaumiza familia ya seki pia akiwemo watoto na mjane.
Na watu wataamini 100%.
Akisemwa mtu anayempenda hapo yeye ndipo abakuja juu kuwa aliyemsema ana mbully kama ambavyo uwa anamsema Milly anambully best yake wakati yeye daily anawesema diamond na zari, najiulizaga maana ya kubully kwake ni nini...
 
Kweli tena ukizingatia Mange kaolewa na mzungu na ana watoto wa kizungu, hata Magufuli amuingii.
Duh hizi mentality kumbe bado zipo za kwamba kila mzungu ana pesa, nilidhani zishaisha...
Kumbe bado waafrika wanaabudu wazungu mpaka leo, nilidhani sio kwa kiwango hiki...
 
Amin usiamini lulu kamzidi mange kwa fedha. Mange choka mbaya
Nisaidie vielelezo vya kusema lulu anapesa kuliko mange koz mange yeye aonesh what she owns and assets alizonazo kama lulu anavofanya ila najua anahela maana ukifanya money interchange anazomiliki lazma kibongo bongo ziwe nyingi
 
Anapenda kunyenyekewa na kila mtu,pia ana wivu kwa kila aliyemzidi kwa uzuri na fedha
Ana roho ya kimaskini sana. Cha kustaajabisha ana watu wake ati[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99]
 
Nisaidie vielelezo vya kusema lulu anapesa kuliko mange koz mange yeye aonesh what she owns and assets alizonazo kama lulu anavofanya ila najua anahela maana ukifanya money interchange anazomiliki lazma kibongo bongo ziwe nyingi
Money gani anazomiliki?
Angekuwa anamiliki pesa angeambiwa na mahakama atafte kazi yotote ili naye achangie child support?
Baada ya hapo si ndipo akataka mumchangie baadae akatoa na namba kabisa ambayo ilikuwa blocked.
Wenye pesa hawahitaji kuchangiwa child support au unadhani kila anayeishi Marekani ana ela?
Wengine hawarudi kwakuwa hawana kitu wanaona aibu watachekwa na hao ndiyo wale wakifariki ndugu na marafiki wanaomba mchango wa kusafirisha maiti mpaka humu jf.
 
Huyu bint vp, nikutuhumu kuua mwanangu halafu kesho unipe mkono niupokee!!?
 
Mange kama anahuruma aje naye akamatwe na polisi au uhamiaji kwa matusi na udhalilishaji anaowafanyia watu wengine ndiyo tujue kweli kuwa she real cares about others unless otherwise its the same people in different clothes.
 
Lulu anamsomesha mdogo wake,anajenga nyumba,anamiliki duka la nguo

Mange hana mali mkuu,cheki picha zake alivyopauka hapo anategemea pesa za child support na misaada ya hao follower wake wa insta
Nisaidie vielelezo vya kusema lulu anapesa kuliko mange koz mange yeye aonesh what she owns and assets alizonazo kama lulu anavofanya ila najua anahela maana ukifanya money interchange anazomiliki lazma kibongo bongo ziwe nyingi
 
Mange kila kitu anakijua... Sheria, music, etc juz alisema Hassan ngoma wa clouds360 kafukuzwa mara nyumba ya diamond sauz c yake... Halaf ikiwa uongo hasemi... Mm kanipga block coz kumwambia ukwel
 
Lulu anamsomesha mdogo wake,anajenga nyumba,anamiliki duka la nguo

Mange hana mali mkuu,cheki picha zake alivyopauka hapo anategemea pesa za child support na misaada ya hao follower wake wa insta

Kuolewa na mzungu ni mafanikio tosha. We wale watu wanaoonekana kwenye TV tu yeye ndio mumewe, acha kabisa.
 
Hahahahaa kabisa kuwa mutalaka ya muzungu bahati
Kuolewa na mzungu ni mafanikio tosha. We wale watu wanaoonekana kwenye TV tu yeye ndio mumewe, acha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…