Mange ana matatizo gani na familia ya Diamond Platnumz!?

Analianzishaga mwenyewe huyu. Anataka umaarufu kwa bei yoyote, na kafanikiwa haswaaa. Haipiti siku, kaishatajwa mahali.

Mimi sidhani kabisa kama mara zote ni yeye tu ndiye anayelianzishaga.
 
Kuna pande mbili.

Mange upande mmoja na dunia upande wa pili.

Haiwezekani Mange tu ndo akawa na hatia peke yake.

Yeye akitukana inakuwa nongwa. Akitukanwa anastahili.

Come on now....

You are not getting this at all Mr, LeMutuz etc many people don't care

but not Zari, Diamond etc

She is going nuts, she wants to be at least like Zari, she is hurting deep inside because that hubby she used to show off with is gone gone.
 
You are not getting this at all Mr, LeMutuz etc many people don't care

but not Zari, Diamond etc

Hmm...maybe this is way above my pay grade and that's why I'm not getting it.

She is going nuts,[/qquote]

Same can be said about her so called enemies [or fans if you will].

she wants to be at least like Zari,

Now that is very presumptuous of you to say that. How do you know she wants to be like Zari?

she is hurting deep inside because that hubby she used to show off with is gone gone.

Hmm...it's probably the other way round. He could be the one hurting...in twice as many places at that!
 
niliguna alichoandika nikala solex...

btw weka hiyo picha hapa kama nina matatizo au sina matatizo we hayakuhusu[emoji5]
lete info zako hapa tukuombee msamaa,u don't know what you are missing-utaalam wa kuweka picha sina
 
Mange na Lemutuz wana aina moja ya kuishi, wanatafuta kiki kwa kila hali,Mange bila kuwaponda kina Diamond na wengine angejulikana vipi?
mnapata tabu mnao shughulishwa na mambo yake kama mngempuuza wala yasingekuwa haya tunayojadili hapa
 
Simtetei ila naona wakati mwingine huwa analaumiwa pasi na haki.

Yeye na wote anaotukanana nao ni wale wale tu.

Huwezi ukamlaani yeye na kuwaacha hao wa upande wa pili.

Jamani we kaka, nakupendaga sana post zako ila hapa kwa Mange kumuattack Zari hapana. Mange anamchukia Zari tangu Zari aanze kutoka na Diamond. Kinacho muuma Mange ni kwamba Diamond hawezi tena kurudi kwa Wema. Na anamsemaga Zari kwamba aliingia kwa pupa alivyoanza na Diamond which is not true. Mange ana chuki na Zari mnoo. Kaangalie aliyoyapost mengi ya uongo na yote haya ni yeye Mange aliyaanzisha alivyomuandika Zari vibaya 3 weeks ago kuhusu birthday ya Mama Diamond.
Mange needs help bana, psychological help.
 
Mange ana chuki na zari tena za waziwazi. Anaoma kuna ki2 zari anamzid maana kumiliki magari yenye jina lako c haba. Kwenda jny ofic yako si haba. Kua na watoto wa4 si haba. Anataman awe zari. Ss nan atampenda mwanamke 24/7 yupo instagram ata analisha wanawe kweli. Mange m2 akishampita ki2 flan lzm awe adui yake. Na sio kwamba anaonewa aonewe yy km nan. Ss kakutana n kigongo from UG yy mange ana2mia nguvu nyingi. Mwenzie anakuja na line mbili tu
 

Ahsante sana bibie.
 
Kama mange ni bomu si um unfollow insta? kujazana kumjibu ndio kumpandisha chati
 
MCHOMOLEGEA ndo nini mkuu,hapo umenitatiza kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…