Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Analianzishaga mwenyewe huyu. Anataka umaarufu kwa bei yoyote, na kafanikiwa haswaaa. Haipiti siku, kaishatajwa mahali.
Mimi sidhani kabisa kama mara zote ni yeye tu ndiye anayelianzishaga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Analianzishaga mwenyewe huyu. Anataka umaarufu kwa bei yoyote, na kafanikiwa haswaaa. Haipiti siku, kaishatajwa mahali.
Kuna pande mbili.
Mange upande mmoja na dunia upande wa pili.
Haiwezekani Mange tu ndo akawa na hatia peke yake.
Yeye akitukana inakuwa nongwa. Akitukanwa anastahili.
Come on now....
You are not getting this at all Mr, LeMutuz etc many people don't care
but not Zari, Diamond etc
She is going nuts,[/qquote]
Same can be said about her so called enemies [or fans if you will].
she wants to be at least like Zari,
she is hurting deep inside because that hubby she used to show off with is gone gone.
Wewe utakuwa na matatizo mpaka Zari kakublockhaaa huyo Mama Zulekha (Zari) alishaniblock[emoji23][emoji23]. kaweka picha gani iweke hapa nione
niliguna alichoandika nikala solex...Wewe utakuwa na matatizo mpaka Zari kakublock
lete info zako hapa tukuombee msamaa,u don't know what you are missing-utaalam wa kuweka picha sinaniliguna alichoandika nikala solex...
btw weka hiyo picha hapa kama nina matatizo au sina matatizo we hayakuhusu[emoji5]
haaaa patia picha pozi la kuniombea msamaha....mwelete info zako hapa tukuombee msamaa,u don't know what you are missing-utaalam wa kuweka picha sina
Ubarikiwe na mwenyezi mungu,nasubiri huo utaalamhaaaa patia picha pozi la kuniombea msamaha....mwe
nitakufundisha utaalam wa kuweka picha siku
Simtetei ila naona wakati mwingine huwa analaumiwa pasi na haki.
Yeye na wote anaotukanana nao ni wale wale tu.
Huwezi ukamlaani yeye na kuwaacha hao wa upande wa pili.
Jamani we kaka, nakupendaga sana post zako ila hapa kwa Mange kumuattack Zari hapana. Mange anamchukia Zari tangu Zari aanze kutoka na Diamond. Kinacho muuma Mange ni kwamba Diamond hawezi tena kurudi kwa Wema. Na anamsemaga Zari kwamba aliingia kwa pupa alivyoanza na Diamond which is not true. Mange ana chuki na Zari mnoo. Kaangalie aliyoyapost mengi ya uongo na yote haya ni yeye Mange aliyaanzisha alivyomuandika Zari vibaya 3 weeks ago kuhusu birthday ya Mama Diamond.
Mange needs help bana, psychological help.
Hivi Zari ana miaka mingapi?haaa huyo Mama Zulekha (Zari) alishaniblock[emoji23][emoji23]. kaweka picha gani iweke hapa nione
MCHOMOLEGEA ndo nini mkuu,hapo umenitatiza kidogo.Kabla ya kuleta huu uzi hapa nilijaribu kudodosa dodosa kwa wajuzi wa mambo ndipo wakaniambia tarifa zisizo rasmi kuwa DIAMOND alisha mchomolegea MANGE KIMAMBI kimapenzi,so mange amekuwa ni kama analipiza kisasi baada ya kuona Mafanikio makubwa alinayo sasa Ndugu yetu Diamond!