Mange ana matatizo gani na familia ya Diamond Platnumz!?

Kwani mwenzetu umekuja mjini lini? Ulikuwa humjui mange kabla hajaanza topics za diamond na zari?
Karibu mjini, anajulikana muda mrefu toka enzi za zeutamu, unajua zeutamu ninini?
Ha ha ha ha nimecheka sana, tatizo wamemjulia Instagram kwa watu wanaomjua toka ze utamu, u-turn hatuoni jipya la kumtukana. Wengne wanasema stress za kuachwa, Mange yupo vile toka hajaachana na baba kenzo. Halafu kwan anatukana bila sababu??
 

Correction: Zari hakumuanza Mange, Mange ndio alimuanza Zari then Zari aka retaliate snapchat na ile "RIP Lance.." Uwe unaandika facts sio mkumbo tuu. Mange amekua anamchokonoa Zari tangu Zari na D waanze uhusiano. Hivi anavyosema eti Zari aliingia kwa mbwe mbwe kwa Diamond, huwa ana maanisha nini. Diamond was single when he started dating Zari. Wema ndio alimdump Diamond and then 2 weeks later Diamond met Zari kwenye ndege. Lakini ushabiki maandazi watu wanabehave kama vile Zari ndio aliingilia relationship ya Wema na Diamond.
 
Nadhani hukuelewa alimuanza kwenye nini? Chillax. Nadhani kwenye huu mkumbo na wewe upo. Bye
 
Nadhani hukuelewa alimuanza kwenye nini? Chillax. Nadhani kwenye huu mkumbo na wewe upo. Bye

Yeah, go back and check Mange's posts around Mama Diamond's birthday party. Find a seat and sit down!
 
Yeah, go back and check Mange's posts around Mama Diamond's birthday party. Find a seat and sit down!
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ "Find a seat and sit down" There your are
 
We mjini mgeni eehhh. Ila nimeona comments za wageni wengi tu humu. Kwa taarifa yako Mange alianza kumsema zari vibaya tangu zari alipoanza kumdate diamond for the first time. Inawezekana ulikuwa bado hujaja mjini. Mange kamuandika zari sana kipindi U turn kabla haijafa.
Wako wapi wambea wa zamani wa celebrity forum.
Cc. Nifah, Heaven on Earth, Evelyn Salt, generous, Mrembo by Nature, Mzurimie, Warumi ,Kimberley. Atoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…