Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha nimecheka sana, tatizo wamemjulia Instagram kwa watu wanaomjua toka ze utamu, u-turn hatuoni jipya la kumtukana. Wengne wanasema stress za kuachwa, Mange yupo vile toka hajaachana na baba kenzo. Halafu kwan anatukana bila sababu??Kwani mwenzetu umekuja mjini lini? Ulikuwa humjui mange kabla hajaanza topics za diamond na zari?
Karibu mjini, anajulikana muda mrefu toka enzi za zeutamu, unajua zeutamu ninini?
Mlete Mada naomba nikujibu kama ifuatavyo. Kwanza, lazima uelewe kuwa Mange ni Celebrity mkubwa tu hapa TZ. Ukumbuke kuwa Miss TZ wa kipindi hicho ambao walifanikiwa kushinda ukiishia kwa Wema Sepetu amekuwa akiwaandaa yeye. Pili, Suala la Mange na Diamond usilichukulie hivyo. Kama unakumbuka wakati Diamond alivyofanya Diamonds are Forever. Mange ndiyo aliyeandaa akishirikiana na kina Ruge. Kwa hiyo fanya utafiti wa kutosha. Dai Anamheshimu mno Mange na Matusi yake yote ndiyo maana hata siku moja Dai ajawahi kuongea chochote kuhusu Mange. Tatu, Mange kumuandama Zari yeye mwenyewe ndiyo alimuanza. Kumwambia RIP Lance Snapchat na watu walimkanya huyo Zari kuwa asimchokoze Mange. Sasa kajibu mashambulizi Mange anaonekana mbaya. Nne, Mange ni Blogger, tena the best female Blogger in Tz. Kwa hiyo ana uhuru wa kublog chochote kile. Ndiye mmiliki halali wa U-Turn. Siku ikirudi hewani pita usome maada zake. Ni mwandishi mzuri sana.
Nadhani hukuelewa alimuanza kwenye nini? Chillax. Nadhani kwenye huu mkumbo na wewe upo. ByeCorrection: Zari hakumuanza Mange, Mange ndio alimuanza Zari then Zari aka retaliate snapchat na ile "RIP Lance.." Uwe unaandika facts sio mkumbo tuu. Mange amekua anamchokonoa Zari tangu Zari na D waanze uhusiano. Hivi anavyosema eti Zari aliingia kwa mbwe mbwe kwa Diamond, huwa ana maanisha nini. Diamond was single when he started dating Zari. Wema ndio alimdump Diamond and then 2 weeks later Diamond met Zari kwenye ndege. Lakini ushabiki maandazi watu wanabehave kama vile Zari ndio aliingilia relationship ya Wema na Diamond.
Nadhani hukuelewa alimuanza kwenye nini? Chillax. Nadhani kwenye huu mkumbo na wewe upo. Bye
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 "Find a seat and sit down" There your areYeah, go back and check Mange's posts around Mama Diamond's birthday party. Find a seat and sit down!
We mjini mgeni eehhh. Ila nimeona comments za wageni wengi tu humu. Kwa taarifa yako Mange alianza kumsema zari vibaya tangu zari alipoanza kumdate diamond for the first time. Inawezekana ulikuwa bado hujaja mjini. Mange kamuandika zari sana kipindi U turn kabla haijafa.Mange hana wivu na zari wala diamond, kwa hiyo wote wanaomsema diamond na zari wanawaonea wivu, zari alijiroga akaingia kwenye anga za mange baada ya kumcheka mange alivopewa alaka akapost snap chat yake R. I. P LANCE ambaye ni mme wa mange, akifuahia kuachana kwao, kwani Mara ngapi mange anawaongea celebrity mbalimbali,? Au zari ni wa ngapi huwa wanamsema mbona wengine anawa ignore? Mange anaweza, Kuwa anafahamu kabisa ukweli kwamba zuleha c mtoto wa zari ila nimdogo wake ila kaamua kumkomesha baada ya kumcheka