Mr Cu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,289
- 974
Maraaa paaaaa.....mama Sabrina upo kweli list...hahahaaaàaaaaaaaa kaaa namuona baba flani yuko bize na makaratasi matatuuuMsiwe mnamchokoza mange jamani,,mwishowe na sie tupachikwe hapo kwa page yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maraaa paaaaa.....mama Sabrina upo kweli list...hahahaaaàaaaaaaaa kaaa namuona baba flani yuko bize na makaratasi matatuuuMsiwe mnamchokoza mange jamani,,mwishowe na sie tupachikwe hapo kwa page yake
Wafuasi wa Mange kama kawaida yao, wapo katika ubora wao wa kuburuzwa... 😀 😀 😀
Huyu Mange unaweza ukadonwload picha ya mtu insta ukamtumia kisha ukasema kalala na huyo shehe, kisha mwambie ficha Id, yeye ataipost na kuongeza nyama (utafikiri anajua ukweli), na wafuasi wake utawaona wakishadidia wakifanywa wapumbavu.
Source haijulikani, Mtu mwenyewe anahadithiwa tu. imekuwa utakachomuhadithia kama ni negative for ccm basi yeye ataipost as if anaujua kinaga ubaga. Kuna wafuasi wake nlicheka sana siku wananambia eti Mange akitaka siri za mtu hakosi.... 😀 kawateka wajinga
Sasa ww umefuata nn kwenye huu uzi? Si ungekuwa kwenye banda lako la kuku unaingiza hela!!Ukiwauliza watanzania Lin waliruhusu akili zao kutawaliwa na huyu Dada hawajui yani sawa na mtu ambaye ajui Lin alianza kupenda kufanya masterbation na anajua inamadhara kwake
Mkuu wakufanyeje...????[emoji12] [emoji12]Mambo ni fiiiiire huko Insta naona Wema kaamua afunge mshono wake maana ligi haiwezi kabisa
Heri kasitisha kutoa list inawezavunja ndoa zetu,mara paap!! mkeo kwenye list ya shehe tito kaliwa kiboga tobaa! Utaweka wapi sura yako.Ha ha ha ha "eti Sheikh Tito""
Mange ukimaliza huyu Tito........piga hii mihindi inaitwa HASANALIIIIIII, naona iko ingia anga zako. Yy iko potea njia kabisa. Jinga sana yy...
Sheikh alikuwa anakula Waislam wenzie!! Ndio anawadanganya kirahisi kumuona Sheikh ofisini...wangu RC ngumu sn aisee!!Heri kasitisha kutoa list inawezavunja ndoa zetu,mara paap!! mkeo kwenye list ya shehe tito kaliwa kiboga tobaa! Utaweka wapi sura yako.
Kapigwa knockout tatu mzuka na malkia wa mitandaoSheikh alikuwa anakula Waislam wenzie!! Ndio anawadanganya kirahisi kumuona Sheikh ofisini...wangu RC ngumu sn aisee!!
Ila Sheikh nomaaa anakula tundu ndogo!! Ha ha ha
mambo ni motooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooShekhe hakuwa anamjua Mange nafikiri
Yani kama una profile baya, usimchokoze Mange maana yeye akigusa button ya start tu, watu wanamwaga mambo Live
Hakuna kitu n kamo hicho mkuu, waislamu wengi wanafurahia mtu muovu kuanikwa uovu wake, mambo ni hivi, mambo ni motoooomkuu honest is a good religion... moyo wako unautambua ukweli....hili la sheikh na Mange linaathari kubwa tu kwa mioyo ya waislamu ...hakuna kitu kinauma kama kutukaniwa mzazi au dini including viongozi wao mf.nabii Tito amewakwaza sana baadhi ya wakristo..may be its personal lakin yule ndugu ni kiongozi mkuu wa waislamu so ina pinch kiasi flani kusikia sheikh wako anafumua marinda wake za watu...it not easy to swallow
Mange ni platform tu , zile habari zinapelekwa na watanzania wenyeweUkiwauliza watanzania Lin waliruhusu akili zao kutawaliwa na huyu Dada hawajui yani sawa na mtu ambaye ajui Lin alianza kupenda kufanya masterbation na anajua inamadhara kwake
Shehe anatake advantage kama mke na mume wanamgogoro wameenda bakwata kusuliishwa,Kwani huyo mke hana maamuzi?
Au sheikh anatumia kisomo?
Hahahaaa hivi mie siwezi kupata hicho cheo!Shehe anatake advantage kama mke na mume wanamgogoro wameenda bakwata kusuliishwa,
Hebu onesha Ke anaumia vipi na Me angeumia vipi?Mkuu wewe ni me au ke? Mbona kama umeumia sana kuhusu hako kadada afu umeumia kike
Huyu Mangereza ana kundi kubwa la wajinga nyuma yake. Trump was right after all.