Kisa kamzungumzia shehe Alihaji ndio umeamini kuwa mange mkweli... Mie nimethibitisha kuwa Mange ukimwambia akufiche id tu kisha tunga story inayomhusu mtu asiependwa na Mange basi ataipost.
Nilipokuja kushangaa nkaacha mdomo wazi ilikuwa meli ilokamatwa na Unga. Yeye mwenye kwenye post amesema imekamatwa huko nje mnamo tarehe 25 disemba. Kuna mdau akamtumia picha akawa ndio anamsapoti Mange na kumuonesha kuwa meli hio tarehe 29 ilikuwepo Zanzibar 😀 😀 nafungua comment hakuna mtu alohoji ukweli wa hio picha nikajua watu ni vichwa mchungwa. Ndio maana CCM itaendelea kuwaongoza. Yaani wachangiaji wote wameshindwa kujiuliza meli ilokamatwa tareh 25 ulaya, tena ya container, ndani ya siku 4 baada ya kukamatwa imeonekana Zanzibar (kina mange wanapodai kuwa imetoka na mzigo wa unga) kisha imerudi tena ilipokamatwa kwa ajili ya kukagyuliwa zaidi?
Ukweli hapa ndio nimemuelewa Mange, na pia nimewaelewa wafuasi wake ni watu wa aina gani.