Mange anahatarisha ndoa za watu

Hata ww umetekwa kama kila siku upo unafuatilia post zake na mbaya zaidi mpka coments moja moja unsoma. Tuondokee hapa tuache tule popcorn
 
mimi pia nilikuwa na mawazo kama yako, leo nimethibitisha story za Mange nyingi ni za kweli..., yaani leo live
 
Bob marley soja yoyoyoyoyoyy kafa na rasta yoyoyooyy yoyoyoyoyoy yoyoyyoy yoyoyoyoyoy

Numbisa sio vizuri usitake tucheke kabla ya list bana weeee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 

Ya dr shika vipi bado haijaisha
 
Dahh tunapata ubuyi liveee hata sie wa mikoani
 
Serikali i invest kwenye technology mbona huyu mange twaweza mzima mazima tu na asirudi tena!

Hahaha hide my fekoro JF
Una uhakika gani kama sio mtz tena, utamfungaje
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] uwii. Kuna mtu kanitania hivyo hivyo eti mara picha yangu inatupiwa. Halafu wewe salimisha picha yako whatsapp haraka
Nisalimishe wapiii
Hapa naumwa tumbo kuna siku nilisalimiana na shekhe tu sijui itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…