Mange anahatarisha ndoa za watu

Mange anahatarisha ndoa za watu

Wafuasi wa Mange kama kawaida yao, wapo katika ubora wao wa kuburuzwa... 😀 😀 😀

Huyu Mange unaweza ukadonwload picha ya mtu insta ukamtumia kisha ukasema kalala na huyo shehe, kisha mwambie ficha Id, yeye ataipost na kuongeza nyama (utafikiri anajua ukweli), na wafuasi wake utawaona wakishadidia wakifanywa wapumbavu.

Source haijulikani, Mtu mwenyewe anahadithiwa tu. imekuwa utakachomuhadithia kama ni negative for ccm basi yeye ataipost as if anaujua kinaga ubaga. Kuna wafuasi wake nlicheka sana siku wananambia eti Mange akitaka siri za mtu hakosi.... 😀 kawateka wajinga
Hata ww umetekwa kama kila siku upo unafuatilia post zake na mbaya zaidi mpka coments moja moja unsoma. Tuondokee hapa tuache tule popcorn
 
Wafuasi wa Mange kama kawaida yao, wapo katika ubora wao wa kuburuzwa... 😀 😀 😀

Huyu Mange unaweza ukadonwload picha ya mtu insta ukamtumia kisha ukasema kalala na huyo shehe, kisha mwambie ficha Id, yeye ataipost na kuongeza nyama (utafikiri anajua ukweli), na wafuasi wake utawaona wakishadidia wakifanywa wapumbavu.

Source haijulikani, Mtu mwenyewe anahadithiwa tu. imekuwa utakachomuhadithia kama ni negative for ccm basi yeye ataipost as if anaujua kinaga ubaga. Kuna wafuasi wake nlicheka sana siku wananambia eti Mange akitaka siri za mtu hakosi.... 😀 kawateka wajinga
mimi pia nilikuwa na mawazo kama yako, leo nimethibitisha story za Mange nyingi ni za kweli..., yaani leo live
 
Bob marley soja yoyoyoyoyoyy kafa na rasta yoyoyooyy yoyoyoyoyoy yoyoyyoy yoyoyoyoyoy

Numbisa sio vizuri usitake tucheke kabla ya list bana weeee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
View attachment 691692 Toka asubuhi mambo huko insta yamekuwa wanaita ...hiviiiiiii ...Maana mwanadada anakuja na list ya wanawake waliotembea na mmoja ya viongozi wakubwa kidini tena akidai anawala mkundy bila ajizi .hivyo wakware wa mjini leo wako makini na list hii nasikitika kick ya Nabii tito ndo inaisha hivi

Ya dr shika vipi bado haijaisha
 
Serikali i invest kwenye technology mbona huyu mange twaweza mzima mazima tu na asirudi tena!

Hahaha hide my fekoro JF
Una uhakika gani kama sio mtz tena, utamfungaje
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] uwii. Kuna mtu kanitania hivyo hivyo eti mara picha yangu inatupiwa. Halafu wewe salimisha picha yako whatsapp haraka
Nisalimishe wapiii
Hapa naumwa tumbo kuna siku nilisalimiana na shekhe tu sijui itakuwaje
 
Back
Top Bottom