Mange anahatarisha ndoa za watu

Yaani hadi show ya wasafi Mwembe yanga imefunikwa haiongelewi ,bila kusahau kiki ya Mzee Slaa nayo imebumaaa.

Watu tupo Shehe Tito tangu jana
Teh...Sheikh Tittooooo
 
Kila nikiona picha za wake za sheikh nafurahia maana najua wameshatoa mambo yetu.

Kama kuna mke wa zamani wa sheikh hajaolewa nipeni contact zake
Na mie unitafutie za sheikh anipatie bahati ya ndoa.
 
i feel sorry for Muslims ....huwa najisikia vibaya sana kiongozi wangu wa dini akidhalilisha kwa namna yoyote ile...lakini ndo hivyo..ukicheza na tigo utapata tigo pesa ...ukicheza biko kuliwa lazima...ukicheza na nyani utavuna mabua....nadhani huyu sheikh hakuwashirikisha wenzake katika hili ilikua ni personal lakini sasa inaumiza sana Sana waumini wake....binafsi nilikua najiuliza huyu sheikh insta kafata nini?... Alafu alivyokua anaongea kuhusu mange na jf hv aliwahi kujiuliza au kujaribu kufuatilia ni mtu wa aina gan?? hakuona yale matusi na visa vyake? Siro wetu IGP mwenyewe alikaa chini hakuna alichomfanya......sasa leo sijui kama ni kweli bt lazima Shehe tumbo linavuruga coz Mange akikuchafua kujisafisha ni ngumu ngumu kupita kiasi... jiulize watu wanampenda mtu wasiyemjua na kumwamini...yale mafuriko ya followers hakuyaona? Angepata somo kwa Makonda B4 hajamuingilia Mange...today makonda ni among of the best RCs nchini lakini hata afanyake mangeism imeshamchafua sana kila anachofanya no one take it positive lazima wamnange tu...SHEHE POLE BELIEVE HILI NALO LITAPITA TU ...TUNAJIFUNZA KILA LEO NA ELIMU NI GHARAMA...NARUDIA TENA NDUGU ZANGU WAISLAMU POLENI SANA KWA HILI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…