Mange anahatarisha ndoa za watu

Mange anahatarisha ndoa za watu

"wanawake " waliowahi kuwa wake zake... ina maana ameoa na kuacha, anaoa na kuacha, anaoa na kuacha, anaoa na kuacha.. rekebisha andiko lako!
Anatoa na kuacha lakini akikuacha lazima uolewe. Single ladies bahati hiyo
 
Mkuu hapa umechanganya. .Waislam hatupo kwenye hili tukio.
Ni lake menyewe na Dada ake Kimambi.
mkuu honest is a good religion... moyo wako unautambua ukweli....hili la sheikh na Mange linaathari kubwa tu kwa mioyo ya waislamu ...hakuna kitu kinauma kama kutukaniwa mzazi au dini including viongozi wao mf.nabii Tito amewakwaza sana baadhi ya wakristo..may be its personal lakin yule ndugu ni kiongozi mkuu wa waislamu so ina pinch kiasi flani kusikia sheikh wako anafumua marinda wake za watu...it not easy to swallow
 
Mkuu hapa umechanganya. .Waislam hatupo kwenye hili tukio.
Ni lake menyewe na Dada ake Kimambi.
Hii kesi inamuhusu shehe na mambo yake na ugomvi ni wake yeye kama yeye na mange na wala haingiliani wala kutuhusu waislamu wote.
 
Hahaha kama umesahau shule uliosoma,umesahau historia yako tangu umezaliwa,kama unahisi mambo yako unafanyaga kwa siri sana na hajui mtu yyote,basi mchokoze Mange[emoji23][emoji23]utachambuliwa kuanzia nywele mpaka kidole cha mwisho cha mguu[emoji23][emoji23]na hapo ndipo utakapojua kwa nini Idd amini pamoja na ugaidi wake aliitwa Dada
 
Nadhani baada ya kutuambia kuwa Mange Kimambi anahatarisha Ndoa za Watu na Kuwadhalilisha Watu basi na Wewe pia ungekuja na ' supporting arguments ' zako ili uweze kutushawishi Sisi Great Thinkers ' tuliotukuka ' tukuamini kwa hizi shutuma zako / madai yako lakini bahati mbaya mno ni kwamba umekuja tu na ' umbea ' wako uliotusaidia Sisi kujua mapema uwezo wako wa IQ jinsi ulivyo mdogo kuliko hata ' punje ' ya mchele.

Nachukia kweli ' Mijitu ' ya ' hovyo hovyo ' iliyopo hapa duniani.
Nianze kwa kukiri ni kweli mimi nina IQ ndogo japo sio kichaa nalea vyema familia yangu napata kipato halali kwa elimu yangu ya wastani ,kama mkuu Great thinker sijakosea hili sio jukwaa lako wenye ma IQ makubwa kama yako wana chumba chao humu kimoja kinaitwa ''Great thinkers'' kingine ''Jamii intelligence'' huko huwa nikiingia nakuwa msikilizaji na kujifunza zaidi sipendi ukilaza wangu uwaharibie mjadala.
Heshima hiyo hiyo na wewe ulipaswa utupe tusio na akili kwa aidha kutochangia kama tufanyavyo vila za kwenu au kutoingia kabisa forum za wambea .
Nimeeleza anaharibu ndoa ,sijagusa swala la mange kuwa mkweli au muongo hiyo topic sina interest nayo swala ni hao wadada wanaopostiwa mfano ikatupiwa picha ya mkeo sasa hivi haitahatarisha mahusiano yenu huko kwenye ushabiki wa mange mi sipo ni kwa ma great thinker.
 
i feel sorry for Muslims ....huwa najisikia vibaya sana kiongozi wangu wa dini akidhalilisha kwa namna yoyote ile...lakini ndo hivyo..ukicheza na tigo utapata tigo pesa ...ukicheza biko kuliwa lazima...ukicheza na nyani utavuna mabua....nadhani huyu sheikh hakuwashirikisha wenzake katika hili ilikua ni personal lakini sasa inaumiza sana Sana waumini wake....binafsi nilikua najiuliza huyu sheikh insta kafata nini?... Alafu alivyokua anaongea kuhusu mange na jf hv aliwahi kujiuliza au kujaribu kufuatilia ni mtu wa aina gan?? hakuona yale matusi na visa vyake? Siro wetu IGP mwenyewe alikaa chini hakuna alichomfanya......sasa leo sijui kama ni kweli bt lazima Shehe tumbo linavuruga coz Mange akikuchafua kujisafisha ni ngumu ngumu kupita kiasi... jiulize watu wanampenda mtu wasiyemjua na kumwamini...yale mafuriko ya followers hakuyaona? Angepata somo kwa Makonda B4 hajamuingilia Mange...today makonda ni among of the best RCs nchini lakini hata afanyake mangeism imeshamchafua sana kila anachofanya no one take it positive lazima wamnange tu...SHEHE POLE BELIEVE HILI NALO LITAPITA TU ...TUNAJIFUNZA KILA LEO NA ELIMU NI GHARAMA...NARUDIA TENA NDUGU ZANGU WAISLAMU POLENI SANA KWA HILI.
Usituonee huruma bana wewe huyo shekhe ni wa Ccm sio waislam wa waislam wa Tanzania muache avune alichopanda
 
Tanzania kuna vituko sana ...Mara kiongozi apige push up...Mara kiongozi ana vyeti...Mara waziri aingie bungen amalewa...Mara atumbuliwe....Mara Mbunge Apigwe Risasi...Mara kiongozi anunue madiwani na wabunge....Mara......Sugu wamnyime dhamana...Mara Mbunge Juakali ahukumiwe miezi sita jera....Mara akiyetabiri Rais kufa ...wamuweke ndani miez minne ..Mara vyuma vimekaza ...Mara Rais anadai avijakaza...Mara Mbunge ajivue ubunge Mara arudi tena anataka ubunge...Mara ..Bashite kavamia clouds... Mara Ruge ..ajipebdekeze kwa Rais...Mara dk shika...kawekwa kolokoloni kwa kujifanya anapesa kumbe yuko Empty... Mara ....aje Nabii Titto Mara waseme nikichaa...Mara ...hivi Mara vile...people we are tired.
 
Screenshot_2018-02-06-16-22-03.png
Screenshot_2018-02-06-16-21-33.png
 
Back
Top Bottom