Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Huyu mage si ni rubani wa Fastjet au nimemchanganya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mage si ni rubani wa Fastjet au nimemchanganya?
Toenimashauzi ushuziiii! WAKE ZA WATU SI NJE TU WENGI MNAGANGA NJAA TU! Nyie mkiganga njaa aaaah kujituma akiganga mwenzenu ana shida? Nyoooooooo! HII ANGLE TUKIITUMIA INAWAGUSA WATU WENGI MNOOOOOO!
Mi nagangaa njaa balaaa ,ila dada yako mswahili mnooo,halaf lara unalizungumziaje hili swala maana unaweza sema hata kasingiziwaaaa
Mxiuuuuuuu! Uongo mwingine nao! Sasa yule bwana kule raia, ana mi benefit yote, afu mzawa, afu white unafikiri mganga njaa kama waume zenu waliozamia? Nyoooooo! Au mume wa BANKRUPTCY! Hahahaaaa! Watu wameolewa na balck wanahaha si wote (kuna black kama Mziray enzi zake unakula bata mpaka kuku anaona wivu) wanajua na yule anahaha! Dhubutuuuuuuuuuu! UKICHAGUA NYAMA CHAGUA ILIYONONA, NA UKICHAGUA MUME CHAGUA ZUNGU ZAWA ORIGINAL NDO KIDOGO UTAINUSA THE AMERICAN DREAM. CHEZEA KUWA DEPORTED NA KUKANYAGA KWA KUJITANDAZA US! Hahahaaaaaa!
Mziray keshafuliaa u know!!!hela za sembe pia kuna black wapo wana uraia na wanaishi maisha mazuriii tu sio mpaka uolewe na mzungu
Huyu mage si ni rubani wa Fastjet au nimemchanganya?
Chagga bebi kamwambia Mange waweke bank statement zao tuone nani mwenye fwedha mingii et chagga anamzidi mshahara hubby wa Mange, Mange anachambajee uwiiiiiiiiii natamani nijoin insta leoo
Hahaaaa mweh ngoja ni login insta ingawa mange kaweka private user
Mi nagangaa njaa balaaa ,ila dada yako mswahili mnooo,halaf lara unalizungumziaje hili swala maana unaweza sema hata kasingiziwaaaa
lara mi namkubali sana ila kwa mange hapana siko kwenye boti yako yule dada hafai hata kwa kulumagia hapo ndo eti ana MBA ya dubai alienda kisomea kupiga ramli labda mi nasema yule HAJAFUNDWA NA KAMA KAFUNDWA TUNAMTAKA SOMK YAKE HAPAAA....TUMWAMBIE MWALI WAKE KIGEGO!
Ninaovyoona mimi ni hivi, unaweza ukasoma sana, lakini ujinga wa asili ukabaki kichwani.
Education is about liberal na siyo ujanja ujanja.
Hahahaaa! KINA NANI? LABDA MAISHA MAZURI NA KUCHAMBA VIZEE TU! Maybe mfamasia Kabye tu, muhaya origino na. Mkewe koku ndo wanakula bata! WENGI WANAGANGA NJAA TU KULE!Mziray keshafuliaa u know!!!hela za sembe pia kuna black wapo wana uraia na wanaishi maisha mazuriii tu sio mpaka uolewe na mzungu
MBA YA KWAKE NYIE INAWAHUSU NINI? BADALA MTAFUTE ZENU MNAKOMAA KUMDISQUALIFY, ALISOMA HIO MBA KUWAFURAHISHA AU AFANYE BIASHARA? Mbona mlichosoma nyie wachambaji huko oxford na camridge vyuo vya maana hamviweki hapa?lara mi namkubali sana ila kwa mange hapana siko kwenye boti yako yule dada hafai hata kwa kulumagia hapo ndo eti ana MBA ya dubai alienda kisomea kupiga ramli labda mi nasema yule HAJAFUNDWA NA KAMA KAFUNDWA TUNAMTAKA SOMK YAKE HAPAAA....TUMWAMBIE MWALI WAKE KIGEGO!
FACT IS KUNA WATU WA KUMCHAMBA MANGE AMBAO WANA QUALIFY KAMA MWAMY HIVI, HILDAPILOT, MONI FINANCE COZ CV ZAO ZA MAANA ILA WENZANGU NA MIE MMEJIFICHA NYUMA YA KEYBOARD, PAMOJA NA KUJIFICHA CREDENTIALS FFFFFFFFF AFU WAPANAAAAAA KAMA PAZIA LA SINEMA! Mnachekesha tu walio nunaaaa!
Weka elimu yako mama ya OXFORD, HAVARD, YALE, CAMBRIDGE, ET AL TUPIME KWANZA KAMA YA MANGE HAITAMBULIKI!Hizo elimu za vyuo hata havitambulikiii ni elimu basiiuuu
Wana wivu haooooo haooo wachonganishi ha0ooooo lol mange ndio ukome kutumia liblog lako kunyanyasa watu yaaaani nimefurahi leo acha tu leo usingizi am sure hauji its the same feeling when you put mrs sembe,blacksheep,kindoo etc hawakulala na wewe leo ndio upate kidogo taste of your own medicine BITCH!
NA ATAWAONE MPAKA MWISHO WA ADHUHURIIIII,!!! Watu wa ovyo ovyo wamefanya madudu kibao, badala watulize mishono wanaenda kujitia wapanaa kwenye media kama mapazia ya sinema!Mie mwenzio nafurahiii saana ameonea wengi