Mange asutwa live

Status
Not open for further replies.
 
Last edited by a moderator:
 
Chagga bebi kamwambia Mange waweke bank statement zao tuone nani mwenye fwedha mingii et chagga anamzidi mshahara hubby wa Mange, Mange anachambajee uwiiiiiiiiii natamani nijoin insta leoo

Hahaaaa mweh ngoja ni login insta ingawa mange kaweka private user
 
 
Last edited by a moderator:
Ninaovyoona mimi ni hivi, unaweza ukasoma sana, lakini ujinga wa asili ukabaki kichwani.
Education is about liberal na siyo ujanja ujanja.

Hizo elimu za vyuo hata havitambulikiii ni elimu basiiuuu
 
 
 

Hahahaaa! POYEEEEEEEEEE! Kwa hio mtu kufuta water mark NI SAWA NA KUISHI NA MUUZA SEMBE? Hahahaaaa! Black sheep kweli kwani Mange ndo alimtuma aibe? Yule bibi nae Mange ndo alimtuma zae na kila mwanaume? ALL MANGE DO NI KUANIKA UCHAFU WAO WALIOFANYA GIZANI! Inhia leo umkute DIVORCED CHAGGA BIBI! Kantangazeeeeeeee!
 
Mie mwenzio nafurahiii saana ameonea wengi
NA ATAWAONE MPAKA MWISHO WA ADHUHURIIIII,!!! Watu wa ovyo ovyo wamefanya madudu kibao, badala watulize mishono wanaenda kujitia wapanaa kwenye media kama mapazia ya sinema!

YALE MAMBO MANGE ANAYO YANIKA WANAKIWA WAMEFANYA GIZANI SASA WANGETULIA TUNGEYAJUAJE? Mange aliwatuma wayafanye!

THE PROBLEM IS WAKATI MANGE ANASOMA WAO WALIKUWA WANAUZA PAPUCHI, WANABEBA SEMBE, NA MIDUDU MINGINE, SASA SAIVI WANATAKA KUTUFANYA WAJINGA KUJIFANYA TOLE MODELS, HAKUNA CHA ROLE MODEL WALA USHUZI!

Tujikumbushe!
BEDUI je Mange alimtuma abebe sembe na kuzaa ovyo, kuolewa mara 3?
Balckship Mange alimtuma aibe akamatwe huko Us?
Sintah Mange alimtuma aimbwe na Nature, asiolewe, mama yake asemwe vile?
List goes on!
 
Reactions: naa
Haya haya mwenye dada keshakuja.
Mange anasubiriwa na leyla he he kaingia mitini.
Shogangu lara 1 upo kwenye zile migao ya mitumba nini??
Uwiiii naomba usinichambe mie shogako nimekuuliza tu
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…