Mange awashukia Wema na Diamond, asema bila yeye Wema asingeshinda U-miss

Mange awashukia Wema na Diamond, asema bila yeye Wema asingeshinda U-miss

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
maxresdefault.jpg


“First of all nimesikiliza hizo audio. Nakumbuka mwaka jana zilitolewa audio za Wema na Mbowe, baadae zikatoka audio za watu wenye sauti exactly kama ya Wema tukashindwa kujua ukwlei wa zile audio. Mimi kama mimi I don’t know kama kweli sauti ni ya Hamisa au la. Maana hata interview ya Diamond hajasema kama Hamisa amekubali ni sauti yake…

Anyways let’s assume kweli Hamisa alikuwa anaongea na mganga, kwa mliosikiliza maongezi hivi ni mtu anaewatakia baya ile familia? Nilichosikia ni kwamba anaomba maelewano nao wamepende yeye na mwanae. You can tell hana chuki na ile famillia.Watu huwa wanaloga mama mkwe afe, au analoga mama mkwe asieelewane na mwanae ili mwanaume amsikilize yeye tu, au anaomba familia ifarakane ili mwanaume awe nae yeye, ila nilichosikia ni maombi ya amani tu kati yake na mama mkwe na mwanaume amuoe. sisapoti mambo ya uganga hata kidogo ila nachosema ni kwamba kama kweli voicenote ni yeye ni kwamba anawapenda ile familia na anatamani awe nao kama zamani. …

Kama navyosemaga siku zote watanzania tatizo letu kubwa ni unafiki. 90% ya wanawake wa TZ wanaosumbuliwa na wanaume break ya kwanza huwa ni mganga ili mwanaume ampende ila leo wanajifanya eti wanashangaa. …”ameandika Mange Kimambi na kuelezea Wema alivyowahi kushiriki mambo ya kishirikina kipindi cha nyuma.

“Huyo nyumbu leo anajichekesha issue ya mganga na kumuona mwenzie mchawi kasahau Muna alivyomuumbua kuwa walikuwa wanakwenda kwa mganga Zari aachane na Diamond? Keshasahau na yeye alivyokuwa anashinda kwa waganga na MunaLove sababu ya Dai leo anajitia kushangaa mtu kuongea na mganga?…..

…..na wewe @diamondplatnumz utalogwa mpaka utembee peku sababu ya uhuni wako. Hao wanawake wote unaowasumbua wanakuloga ili utulie nao. Mama yako mzazi mwenyewe anakuloga ili hao wanawake wasikusumbue umsikilize yeye. Hivi mmesahau zile chat za Bi Sandra alivyokuwa analalamika Zari anamloga Dai Hadi hamsikilizi? That means na yeye Bi Sandra alikuwa anahangaika dawa za Zari zisifanye kazi kwa mwanae??Huyu Diamond mwisho wake hautakuwa mzuri sababu analogwa na wanawake zake na familia yake pia inamloga…”ameandika Mange Kwenye ukurasa wake wa Instagram na Wema Sepetu naye akamjibu.

Kama maneno mkuki, Lenga unifyatulie… Kusanyana mashabiki, waje wakusaidie…. Imara sibabaiki…. Tena nitazame ndie mie..
To whom it may Concern…. Kubambwa mbambwe muanze kusema yangu…. Nimechoka sasa…. Kwani aliefurahia ni mimi peke yangu…. Yaani wewe dada mpaka huwa nakuskitikia wallahy…. Ebu mniache basi… Ndo mshakutwa tena Red Handed. Red Handed Nako K… Defence hamna kiukweli… Ndo ipo hivyo… Pambaneni na hali zenu please…. And Yoooou…. Kuwa mshauri mzuri basi kwa mdogo wako.
Miaka Kumi nayo K… Umebakia kusema Nyumbu Nyumbu… Smh… Come up with something New Pleaseeee…. Wewe ushakuwa mtu mzima sasa…. Set an Example….. Mxxxxxxxxiuuue …. Mtu Mzima Ovyooooooooooo….. Fanyeni mtoe na Vn zangu za Kuloga basi… Eti leo mnasema vya Muna kusema na wakati aliulizwa akakataa…. Mna wazimu nyie eeh…. Wewe huwa nakuonaga ni mkubwa basi nikupe heshima kama dada ila hustahili heshima hata kidogo mbwa wewe…. Baki kwenye mipaka yako hangaika na maisha yako…. Usimdanganye huyo mtoto mchawi kuwa anaweza kuwa mimi hata siku moja…. Hawezi na hatokaa aweze…. Mmedhalilika na ndo itabaki kuwa hivyo….. Aibuuuuuu saaaaaanaaaa Mungu wangu…. Yaani hata azikiri UCHI hawezi…. Mxxxxxxiiiuueee Mmebambwaaaaaaaa ….. Tena Mmebambwaaaaa Vizuri….. Aibuuuuuuuuuu….. Mambo mmeyatindinganya huko mnimalizie hasira mie… Eti Wema Wema…. Si sina mvuto mimi… Nini nimekukaa kooni mbwa wewe…. Sikuheshimu…. Sikupendi na Nataka uniache na Maisha yangu hayakuhusu. Tukio la leo ni zito sana…. Hata mimi ningekuwa Hoves…Oh nd By the way…. Yes Mimi Ni Tasa SO WHAT.?“.

Hata hivyo, kauli hiyo iliongeza hasira zaidi kwa Mange Kimambi na kuvujisha siri kuwa yeye ndiye aliyecheza rafu hadi Wema Sepetu akatwaa taji la Miss Tanzania mwaka 2006.

Mange amedai kuwa yeye akishirikiana na Faraja Kota walimvujishia Wema Sepetu maswali 5 ambayo walimpa na majibu kabisa jambo ambalo lilimfanya ajibu kwa ufasaha wakati wa shindano hilo.

Ndo maana wanakuita nyumbu. Embu rudi hapo kwenye bio yako mwenyewe usome, kitu cha kwanza unachoringia nacho hadi leo ni title Miss Tanzania 2006. This is your only title in life, not wife, not mother Ila ni Miss Tanzania 2006, 12 years later bado unakimbizana na hii title huu ndio utambulisho wako duniani. Kama zisingekuwa shobo zangu hiyo title ya Miss Tz ungeipatia wapi? Bila hizo shabo zangu Hadi ukawa Miss Tz hata Kanumba asingekujua ukaingia bongo movie…

…BI**H I MADE YOU better bow down. Kama jinsi nilivyokutengeza naweza kukuvunja vunja vile vile…. Kinyago nilikichonga mwenyewe leo kinitishe kweli ? Sio tu kwamba I made you, but I really made you. LITERALLY. Kilichokushindisha ukamshinda Jokate ni maswali tu. Ulijibu ukumbi ukalipuka. Maswali Ambayo majibu yake mimi na Faraja Kotta tulikalisha matako chini siku mbili tuna reseach na kuyatafakari, tukakuandikia majibu then nikakuletea majibu ya maswali yote tano ya top 5 ukawa unakremu like the zero brain that you are…. Bitchhhhh just shut the hell up ntakuaibisha wewe….Bila shobo zangu Jokate angeshinda Miss TZ sababu usingemfunika kwenye maswali. Kataaa ukubali you are a Mange Kimambi product. Bora Nancy Sumari aongeee maana sikum-spoon feed mpaka majibu ya maswali , she did that part on her own. Ila wewe funga hilo bakuli lako lililobeba ubongo uliopata division 0 form 4. Pumbavu!. Pumbavu umeumbuka leo tena umeumbuliwa na mamako mzazi unajitia kumkalia mwenzio kooni wakati wewe mwenyewe Dai na familia yake walivyokuzingua ulikimbilia kuloga mpaka mamako akapelekewa habari unashinda kwa waganga. Leo umepatana nao unajisahaulisha kuwa na wewe ulikuwaga unawaloga wakupende. Pumbavu! Umelala nacho kidali po!“ameandika Mange.

Mashindano ya Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu ndiye aliyekuwa mshindi akimuacha nyuma DC Jokate Mwegelo ambapo kwenye maandalizi hayo mwanadada Mange Kimambi ni moja ya watu waliohusika kwenye maandalizi hayo.

Source: Bongo 5
 
Ila wanaume kweli mungu katuumbia mateso hivi kwan asingemuumba mwanamke nini kingetokea
 
DIAMOND NDO BABA LA WACHAWI MAANA KILA ANAYEHANGAIKA KUMROGA ANAUMBUKA NA KUSHIKWA NA MATUNGULI...HUWEZI KUROGA MBARIKIWA...mshika kijiti cha BONGO FLEVA na Tasnia ya Muziki kwa ujumla hapa Tanzania. PIA WEMA UMEZEEKA, TAFUTA MUME KWELI UOLEWE UTULIE ULE UZEE...ONA JOKATE ULIYEMHUJUMU KWEU UMISI LEO HII NI DC...WWE BADO UNAJIITA MISS TANZANIA 2006..

PIA WW HAMISA RIZIKA NA ULICHONACHO...YOU WILL NEVER A RICH GODL DIGERR...SO KULOGA WATU MWISHO WA SIKU TUAKUSHIKA NA TUAPIGA MAWE KUMBE TUNAMUUA MOBETTO.

fuuk
 
Kwahiyo mange anaona sifa kusema alivujisha maswali kwa wema ili ashinde?!hapo si sawa na kuiba kura tu kwny uchaguzi...halafu yeye ndio anatuambia tuingie barabarani kuandamana [emoji17]
 
Back
Top Bottom