MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Nasikia na kaclip wakiwa faragha kapo rafiki..Wema alilala na Ivan kumkomoa Zari. Gombaneni tusikie mengi zaidi
Wema katumika jamani khaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia na kaclip wakiwa faragha kapo rafiki..Wema alilala na Ivan kumkomoa Zari. Gombaneni tusikie mengi zaidi
Rafiki leo unayafurumusha makombora hatari.Ivan alikufa na govi
Ulimuona?Ivan alikufa na govi
Sanaaamashabiki mnapita kwenye kipind kigumu sana
[emoji23] [emoji23] mwisho asiolewe akatemwaaWema alilala na Ivan kumkomoa Zari. Gombaneni tusikie mengi zaidi
Hata pesa hakupewa[emoji23] [emoji23] mwisho asiolewe akatemwaa
Madam kama una hiyo vid naombaWema alilala na Ivan kumkomoa Zari. Gombaneni tusikie mengi zaidi
Hahahaaaa daaaah Sky umenichekesha sana japo marehemu hachekwi daaaah[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ivan alikufa na govi
diamond ni msukule asharogwa hadi basi na ameshageuzwa chuma ulete wa mamaaake na bwana zake ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kurogwa kila upande mchezo bado kuvaa chachandu tundiyo maana hajitambui kwani kuna siku anavaa sidiria, mara hereni na kikuku, siku zingine anausaula hadharani kuonyesha washikaji boxer mpya aliyoinunua, mara abong'oe na kujitia vidole hadharani huku akiimba. Sasa anasuka nywele pale saloon ya karibu na kwao na akianza kuongea huko salon anatikisa vidole huku akibana pua. Yajayo yanafurahisha sana kwa Diamond.
Kushare undugu wa damu na wema ni jambo la aibu sana.... K imetembea km nyingi mno, hana tofauti na madada poaHata pesa hakupewa
AmeeenMungu nisaidie nipite kimya kimya hapa bila kutia neno wala kuacha coment
Ila tu hainaga makombo.Kushare undugu wa damu na wema ni jambo la aibu sana.... K imetembea km nyingi mno, hana tofauti na madada poa