Mange Kimambi aendelea kutesa na kufunika instagram

Mange Kimambi aendelea kutesa na kufunika instagram

Status
Not open for further replies.

Ray waniache

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
737
Reaction score
507
Malkia dadake na bashite
Bado anaendelea kutesa na kufunika instagram
Kutesa kwa zamu hii zamu ya mange kimambi
Namkubali sana anavyowarusha roho wale wa upande wa pili
Mange ametufumbua macho wengi sana ambao tulikua hatujui yafanyayo hapa tz
Watu wanamuelewa sana mange
Binafsi kwangu ndo kila kitu kinachonipeleka instagram ni yeye tu
Huyu dada mpaka nikahisi yupo CIA au FBI maana si kwa data zile


Team mange forever sasa lete fyokofyoko zako kwa mange uone tukavyotifua tifu na moto wako wa polepole maji makubwa utakua
Wamemshindwa mabashite's jeshi la mtu mmoja

Haki mange nakupendaga ww

Viva mange

NB😛ovu ruksa ila lisiwe la sabuni ya mkopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli Mange yupo vizuri anasaidia kujua mambo mbalimbali nawapongeza na wanaompa details wanafanya mambo yaende vyema tatizo lake baadhi ya mambo huwa anamezesha sumu watu kwa sababu ya mabifu yake binafsi...
 
Sasa mbona hujaeleza hicho anachotesa na kufuniks huko Instagram au unadhan wote tupo huko insta
 
HUYU MTOA MADA JANA KATOA POST HAPA YA TAARABU ZILE ZA MAJIKE SHUPA.LEO ANALETA POST INAYOHUSU UMBEA UMBEA.AFU NA HILI JINA LAKE KAMA NI MWANAUME BASI NINA MASHAKA NAE.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom