Mange Kimambi afuta post zote za 'kuiponda' serikali ya CCM

Mange Kimambi afuta post zote za 'kuiponda' serikali ya CCM

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,669
Nimeshangaa katika pitapita zangu instagram kukuta Mange Kimambi kafuta post zake zote za kukashifu wengine, kampain choma kadi ya CCM etc. Nilichokikuta na posts za yeye na Familia yake tu.

Huyu dada inawezekana Malaika amemshukia au kunajambo nyuma ya pazia. Hii sio kawaida yake. Lazima kuna yaliyomkuta. Ila yatajulikana muda si mrefu.
 
Labda katumiwa meseji kama aliyotumiwa Ben Saanane, inatisha sana hasa ukifikiria kwamba simu huwa zinasajiriwa lakini meseji ya kitisho unatumiwa na bado Polisi wanahangaika kumtafuta mtu aliyehusika na upotevu wa mwananchi!!
 
Alitangaza kuhamia kwenye ya siasa Za Tanzania kilichotengenezwa maalum na timu ya propaganda ya Edward Lowassa
 
Dah nikweli kaamishia ukurasa wa Siasa_za_tanzania. Kafanya swala la msingi kutenganisha siasa na familia yake
 
Hajapigwa bit wala nini! Subiri akirudi moto wake!
Alisema mpenzi wake anakasirika akiona zile drama
 
Kuna mkuu wa mkoa maarufu yupo huko Maryland tangu juzi, na hawa jamaa hawashindwi kufanya yao na ikabakia story tu kwenye hash tag.....bring back our.......na siku ya siku mmesahau.
Si raisi alizuia safari za nje? Mkuu wa mkoa afata nn xx uko Marylnd
 
Kasema amefuta kwaajili ya mahusiano yake na mpenzi wake....hamna kilichomkuta

Ila aangalie tu huyo Mpenzi wake asiwe pacha wa wale waliokamatwa Malawi kwani wana mbinu nyingi na ujanja mwingi wa kummaliza adui pasipo adui kujijua na hadi ukija kushtuka tayari umeshaangamizwa. Naomba niishie hapa tafadhali!
 
Back
Top Bottom