Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar


na ya kutukana watu na familia zao hapo unasemaje tena hadi watoto? shusha gazeti basi
 
Duh kuna mtu instagram kashusha uchungu wa mtu mwenye mimba changa kutoka kwa mshtuko aliopata kukuta ameandikwa na Mange....

Kweli anavyo bully na kuchezea na kuumiza kisaikolojia amezidi sana

Anatumia jina gani?
Sasa alingoja nini kwenda kuunga tera pale ostabei
 
Mambo personal yapo ila mengine yana manufaa kama ushuhuda Wa mama wanawakelive
 

Attachments

  • 1437141393693.jpg
    79 KB · Views: 386
Mange ametoka kwa dhamana nilihisi baada ya kuona ID moja mpya imeingia humu kumtetea...lol

Thanks to mlezi wake.

Le mutuz nae karusha picha yupo kule live anatuletea breaking news kuwa mtoto wa Mvungi ndio kamtolea dhamana

Na yeye pia amerusha majibu instagram ya kuendelea na anayofanya mara nchi ya rushwa etc, haikukaa ila ndio wadau wakawa wameshakula ma screeshots na reposts.

Duh huyu mmmh atajiju
 

Hapana, abaki ndaniiiii
 
Ebwaanee mwacheni aoze maana seem Kama ajui alilokuwa anafanya.. anawezaje kutukana watu hii tabia ni chafu acha vyombo vya usalama vimshughulikie na vikimkuta na hatia Kama kawa apelekwe mbele ya sheria
 
Mange ametoka kwa dhamana nilihisi baada ya kuona ID moja mpya imeingia humu kumtetea...lol

Thanks to mlezi wake.

Le mutuz nae karusha picha yupo kule live anatuletea breaking news

Tafadhali, naomba screen shot .
 
Le Mutuz anaripoti live and direct kwamba Mange katoka ndani!

Kawekewa dhamana na mtoto wa Mvungi!
 
nilikuwa nasikia u-turn, u-turn...! He ! kumbe ni u-turn haswaa...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…