Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Ulikuwepo eneo la tukio, au ndio wote tuseme mana humu JF wote wajuaji kisha hamjioni kazi kusema ya wenzenu ya kwenu mmeyakalia. Mume wa Shamim ni drug Lord na anajulikana ht kwenye list ya majina waliotajwa na wafungwa wa China ametajwa.
Sababu wabongo mmezoea kusifia ujinga na hamtaki kuambiwa ukweli, mtu anauza unga na anamaliza vizazi vya Kutanzania, anajiamini na anadai nchi haina sheria eti mnamsifia amefanya vizuri mana hakutoa bastola. Mlikuwepo eneo la tukio au ndio sema usikike.

Halafu mnataka maendeleo, mmekalia umbea na kusifia ujinga ili muweke heshima mjini, badala ya kuondoa huo ujinga na ufusadi kwa mikono yenu miwili.

Mange ana matatizo yake, lakini hili la kukemea wauza madawa na kukemea ufusadu nilitegemea mngemuunga mkono lkn mmekuwa mbogo. Yani hadi huruma nyie mnaojiira wasomi wa JF.Ufisadi utaisha kwa kuwatukuza hao wanaowamaliza, hebu amkeni wa Tanzania na muanze kuwa ns fikra mana ni aibu

na ya kutukana watu na familia zao hapo unasemaje tena hadi watoto? shusha gazeti basi
 
Duh kuna mtu instagram kashusha uchungu wa mtu mwenye mimba changa kutoka kwa mshtuko aliopata kukuta ameandikwa na Mange....

Kweli anavyo bully na kuchezea na kuumiza kisaikolojia amezidi sana

Anatumia jina gani?
Sasa alingoja nini kwenda kuunga tera pale ostabei
 
Mambo personal yapo ila mengine yana manufaa kama ushuhuda Wa mama wanawakelive
 

Attachments

  • 1437141393693.jpg
    1437141393693.jpg
    79 KB · Views: 386
Mange ametoka kwa dhamana nilihisi baada ya kuona ID moja mpya imeingia humu kumtetea...lol

Thanks to mlezi wake.

Le mutuz nae karusha picha yupo kule live anatuletea breaking news kuwa mtoto wa Mvungi ndio kamtolea dhamana

Na yeye pia amerusha majibu instagram ya kuendelea na anayofanya mara nchi ya rushwa etc, haikukaa ila ndio wadau wakawa wameshakula ma screeshots na reposts.

Duh huyu mmmh atajiju
 
Wote tunafanya cyber bullying kwa namna moja au nyingine. Ni wangapi jukwaa la celebrity wanajadili mambo ya ndani kabisa ya kuumiza hisia za watu maarufu? Mange amekosea km wengi wetu tunavyokosea. Asiye na dhambi aendelee kumpiga mawe...
Tuzidi kuweka wazi mambo binafsi ya watu ila ipo siku tunaokushabikia/wanaonishabikia hawatakuwepo. Pia Kumbukeni kuna hesabu ya kila jambo utakapofika kwa Mungu wako liwe jema au baya.

Hapana, abaki ndaniiiii
 
Ebwaanee mwacheni aoze maana seem Kama ajui alilokuwa anafanya.. anawezaje kutukana watu hii tabia ni chafu acha vyombo vya usalama vimshughulikie na vikimkuta na hatia Kama kawa apelekwe mbele ya sheria
 
Mange ametoka kwa dhamana nilihisi baada ya kuona ID moja mpya imeingia humu kumtetea...lol

Thanks to mlezi wake.

Le mutuz nae karusha picha yupo kule live anatuletea breaking news

Tafadhali, naomba screen shot .
 
Le Mutuz anaripoti live and direct kwamba Mange katoka ndani!

Kawekewa dhamana na mtoto wa Mvungi!
 
nilikuwa nasikia u-turn, u-turn...! He ! kumbe ni u-turn haswaa...!
 
Back
Top Bottom