Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Ukiwa kama mange utapigwa tu maana hakuna namna nyingine
 

Master za kule ndio zimejenga huo mji dubai. Huwezi kuzilinganisha na za mzumbe au st. Nanihii.
Ni kiboko ya mafisadi na wauza unga. Yeye nyeupe huita nyeupe tu....haiegeuzi kuwa njano
 

well said mkuu ifike mahali watu especially wanawake waache unafki now wanaponda kua anatukana watu mitandaoni wakati daily hao ndio wanasaka kasema nini na ndio wanazileta huku. Me ninavyoelewa mtu kama hupendi anachofanya mwingine unampotezea tu wala sio kuhangaika na amesema au kafanya nini then hiyo inakua unamkubali kiaina
 
Mange ametoka kwa dhamana nilihisi baada ya kuona ID moja mpya imeingia humu kumtetea...lol

Thanks to mlezi wake.

Le mutuz nae karusha picha yupo kule live anatuletea breaking news

Hahaaa kumbe nawe umemuona
 
Mange is a threat to most famous people who want to make a shortcut rich and famous life, simple like that! Am glad she is out... pole sana mumie Mungu yu upande wako
 
hahahaaaa...dah ama kweli mla nawe..hafi nawee
jinsi wanavyonshabikia na fake id zao sasaaa hahaaa
marichui,koku na wengineo kamtoeni bosi wenu lupango jamanii

Noona Umeniita , nimekuja , swala sio kumtoa swala ni kuona Sheria inafanya kazi yake kwa sababu ni yeye tu ndio anasema watu :A S angry:
1-Ukienda kwa Jirani kila siku kuna mtu anamdharirisha Wema mara ohoo Michirizi/Malaya na mengine ya Binafsi Meeengi mbona hamlalamiki ??
2-Ukiingia Hapa JF watu kutwa mnawasema watu kwa mambo Binafsi , Mlimsema Waziri wa Mbuga zetu kazaa na Msanii wakati Mkijua anamke mwenye Moyo kama nyie ! Mbona hamkushikwa ?? achilia mbali Wanasiasa kutwa kutukanwa mara ukoo wa Panya , na mambo meengi woote tunayafahamu

Jamani tuache Unafiki , kama swala ni kusema Hovyo Mitandao yooote inakiuka hiyo kasoro Michuzi na Milard tu , Tuache Unafiki Wabongo , Walau yeye Pamoja na hayo huwa kuna ya Maaana anauthubutu wa Kuyasema .....Msimsakame upande mmoja tu , Tuwe Wa Kweli Kabisa , na kitu Kizuri Hajifichi ...By the way Mange anafamilia kubwa atakapohitaji Mchango wetu , tupo Tayari

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI NA USTAWI WA U-TURN
 
Mange is a threat to most famous people who want to make a shortcut rich and famous life, simple like that! Am glad she is out... pole sana mumie Mungu yu upande wako

For this words your damn beautfully and caring if your just a girl you deserve a real man
 
huyu anasumbuliwa na wivu mkubwa mno.angekua anamsema kilamtu ambaye anashiriki ktk hiyo biashara ningemwona mzuri.tatizo Anawatukana wale ambao anaugomvi nao tu.kwa Yale matusi hapana kuna njia nzuri ya kufikisha ujumbe lakini sio kivile.nashangaa watu ambao bado Wako close nae.huyu ni wakukaa nae mbali.ni bomu ambalo muda wowote linalipuka
 
Master za kule ndio zimejenga huo mji dubai. Huwezi kuzilinganisha na za mzumbe au st. Nanihii.
Ni kiboko ya mafisadi na wauza unga. Yeye nyeupe huita nyeupe tu....haiegeuzi kuwa njano

Dubai imejengwa na kampuni za construction za wazungu.. Wafanyakazi wengi wa kampuni kubwa Dubai wanatoka Ulaya na Africa. Nina ndugu yangu ndie injinia wa Umeme kwenye lile jengo refu zaidi duniani na ni Mkenya..

Waarabu ni empty set wana mafuta tu ndio kiburi yao
 

Kumbeee

Hata simulaumu
 
duh mkuu wewe ni mwanamke kweli? Huoni kama unadhalilisha wanawake wote including you. Maneno mengine sio ya kuyaandika public hivi aseee...

Mimi ni mwamme.
Kumbe umeona yapo maneno ya kufichwa sio
 
Namtetea Mange kwenye freedom ya kuongea. Sasa kama huyo January Makamba kaamua kumuweka ndani sababu ya kuongea ukweli amebug step.
Ukiwa kiongozi uwe tayari kukubali kuzungumziwa mzuri na mabaya.

Twende kazi Mange hadi wenyewe waache huru watu tuzungumze. Ulaya na marekani kuna freedom ya kuongea,halafu hichi kinchi kijiji Tanzania watu tufungwe mdomo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…