Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Ukiwa kama mange utapigwa tu maana hakuna namna nyingine
 
Kama alikuwa anataka kuonesha upambanaji wake angerudi bongo atafute evidence then aende polisi akawashtaki na si kutema povu nyuma ya keyboard alafu anajifanya mpambanaji..

Huyu demu ni fake sana na mwongo mwongo mno.. tunaomjua vizuri hatuwezi kushabikia upumbavu wake. Teh teh huyu demu anaweza kuwa ndie mtanzania pekee aliyafanya masters uarabuni.. hahaha Uarabuni sikuhizi kuna shule nako eti

Master za kule ndio zimejenga huo mji dubai. Huwezi kuzilinganisha na za mzumbe au st. Nanihii.
Ni kiboko ya mafisadi na wauza unga. Yeye nyeupe huita nyeupe tu....haiegeuzi kuwa njano
 
Wote tunafanya cyber bullying kwa namna moja au nyingine. Ni wangapi jukwaa la celebrity wanajadili mambo ya ndani kabisa ya kuumiza hisia za watu maarufu? Mange amekosea km wengi wetu tunavyokosea. Asiye na dhambi aendelee kumpiga mawe...
Tuzidi kuweka wazi mambo binafsi ya watu ila ipo siku tunaokushabikia/wanaonishabikia hawatakuwepo. Pia Kumbukeni kuna hesabu ya kila jambo utakapofika kwa Mungu wako liwe jema au baya.

well said mkuu ifike mahali watu especially wanawake waache unafki now wanaponda kua anatukana watu mitandaoni wakati daily hao ndio wanasaka kasema nini na ndio wanazileta huku. Me ninavyoelewa mtu kama hupendi anachofanya mwingine unampotezea tu wala sio kuhangaika na amesema au kafanya nini then hiyo inakua unamkubali kiaina
 
Mange ametoka kwa dhamana nilihisi baada ya kuona ID moja mpya imeingia humu kumtetea...lol

Thanks to mlezi wake.

Le mutuz nae karusha picha yupo kule live anatuletea breaking news

Hahaaa kumbe nawe umemuona
 
Mange is a threat to most famous people who want to make a shortcut rich and famous life, simple like that! Am glad she is out... pole sana mumie Mungu yu upande wako
 
hahahaaaa...dah ama kweli mla nawe..hafi nawee
jinsi wanavyonshabikia na fake id zao sasaaa hahaaa
marichui,koku na wengineo kamtoeni bosi wenu lupango jamanii

Noona Umeniita , nimekuja , swala sio kumtoa swala ni kuona Sheria inafanya kazi yake kwa sababu ni yeye tu ndio anasema watu :A S angry:
1-Ukienda kwa Jirani kila siku kuna mtu anamdharirisha Wema mara ohoo Michirizi/Malaya na mengine ya Binafsi Meeengi mbona hamlalamiki ??
2-Ukiingia Hapa JF watu kutwa mnawasema watu kwa mambo Binafsi , Mlimsema Waziri wa Mbuga zetu kazaa na Msanii wakati Mkijua anamke mwenye Moyo kama nyie ! Mbona hamkushikwa ?? achilia mbali Wanasiasa kutwa kutukanwa mara ukoo wa Panya , na mambo meengi woote tunayafahamu

Jamani tuache Unafiki , kama swala ni kusema Hovyo Mitandao yooote inakiuka hiyo kasoro Michuzi na Milard tu , Tuache Unafiki Wabongo , Walau yeye Pamoja na hayo huwa kuna ya Maaana anauthubutu wa Kuyasema .....Msimsakame upande mmoja tu , Tuwe Wa Kweli Kabisa , na kitu Kizuri Hajifichi ...By the way Mange anafamilia kubwa atakapohitaji Mchango wetu , tupo Tayari

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI NA USTAWI WA U-TURN
 
Mange is a threat to most famous people who want to make a shortcut rich and famous life, simple like that! Am glad she is out... pole sana mumie Mungu yu upande wako

For this words your damn beautfully and caring if your just a girl you deserve a real man
 
Wewe utakuwa ni mgonjwa mwenzie wa akili, hivi unamuina huyi boss wako mzima kweli? Mtu katangaza kakosana na watu zaidi 30 tena kwa maandishi yake mwenyewe na yeye anawaanika hao watu kisa ana blog? Yani naomba wote alowatukana wamshitaki ili afungwe kabisa! Kafanya watoto wadogo waige tabia za kutukana watu mtandaoni wakijua mbina Mange anatukana na hakuna wa kumfanya lolote, halafu anaenda kuchukua form za kugimbea ubunge kupitia chama ambacho kamtukana hadi mh raisi ambaye yupo kwenye chama hicho hicho kweli kuwa na degree sio kuwa intelligent.
huyu anasumbuliwa na wivu mkubwa mno.angekua anamsema kilamtu ambaye anashiriki ktk hiyo biashara ningemwona mzuri.tatizo Anawatukana wale ambao anaugomvi nao tu.kwa Yale matusi hapana kuna njia nzuri ya kufikisha ujumbe lakini sio kivile.nashangaa watu ambao bado Wako close nae.huyu ni wakukaa nae mbali.ni bomu ambalo muda wowote linalipuka
 
Master za kule ndio zimejenga huo mji dubai. Huwezi kuzilinganisha na za mzumbe au st. Nanihii.
Ni kiboko ya mafisadi na wauza unga. Yeye nyeupe huita nyeupe tu....haiegeuzi kuwa njano

Dubai imejengwa na kampuni za construction za wazungu.. Wafanyakazi wengi wa kampuni kubwa Dubai wanatoka Ulaya na Africa. Nina ndugu yangu ndie injinia wa Umeme kwenye lile jengo refu zaidi duniani na ni Mkenya..

Waarabu ni empty set wana mafuta tu ndio kiburi yao
 
Mange ni zao la malezi mabovu aliyopata..Mange kazaliwa na housegirl wa marehemu Kimambi.. kalelewa Tandika kwa mama yake maisha yake yote ..Mange alifukuzwa kuishi kwa babake na mtia nia Mwele alipoolewa na Mzee Kimambi kwa sababu ya tabia zake za jalalani..

Huyu ni wa kumfunga kabisa

Kumbeee

Hata simulaumu
 
duh mkuu wewe ni mwanamke kweli? Huoni kama unadhalilisha wanawake wote including you. Maneno mengine sio ya kuyaandika public hivi aseee...

Mimi ni mwamme.
Kumbe umeona yapo maneno ya kufichwa sio
 
Namtetea Mange kwenye freedom ya kuongea. Sasa kama huyo January Makamba kaamua kumuweka ndani sababu ya kuongea ukweli amebug step.
Ukiwa kiongozi uwe tayari kukubali kuzungumziwa mzuri na mabaya.

Twende kazi Mange hadi wenyewe waache huru watu tuzungumze. Ulaya na marekani kuna freedom ya kuongea,halafu hichi kinchi kijiji Tanzania watu tufungwe mdomo!
 
Back
Top Bottom