Mmmh hakuna mke hapa disgusting nilikua nakupenda ila hapa umeniuwaaaa
kabla hujamsapot mwambie apunguze ukichaa,atakuja kukojoa dagaaaawatu mishipa imewakaa, chuki zimewajaa, ukirusha mawe angalia kwanza kama nawe unaish ya vioo au la!
#supportmange
#supportfreedomofspeech
Duh kiongozi nimesoma post yako mpaka nimeshtuka..punguza ukali wa maneno mkuu.
Mange ametoka kwa dhamana nilihisi baada ya kuona ID moja mpya imeingia humu kumtetea...lol
Thanks to mlezi wake.
Le mutuz nae karusha picha yupo kule live anatuletea breaking news
Mimi ni mwamme.
Kumbe umeona yapo maneno ya kufichwa sio
me sisapoti matusi ata huyo mange wenu simsapoti mitusi yake dats y nimeshangaa ulivyofunguka vile bila uoga.
Btw me pia mwanaume ila sipendi kuona wanawake wanavunjiwa heshima coz ndio mama zetu na dada zetu ila sio kesi pamoja mkuu
Huyu lazima afungwe tu ,, Amemtukana sana Lowasa bila sababu,, Tutahakikisha hachomoki na hii kesi,,
Kuwa na uhakika na unachokiongea halafu mwanaume akiwa mmbea hapendezi, naongea nachojisikia as long as simtukani mtu, do you think kila mtu atakuwa against Mange? Jiongeze ww...
Unipende, usinipende huniongezei lolote.
Huyu demu ni kichwa kigumu,naona amerudia kupost instagram yake kuwa this country is so corrupt na issue imepangwa na january. Makamba, dem kajichoka huyu
wengi basi mpo ktk payroll ya mange, alipokuwa police hamkutokea why? nyapuzz tu
Mungu atumike kumkanya na kumrudisha kwenye mstari huyo mwehu,sio kusapot upuuzWw uliyeniita mm boya umenisifia au?
Noona Umeniita , nimekuja , swala sio kumtoa swala ni kuona Sheria inafanya kazi yake kwa sababu ni yeye tu ndio anasema watu :A S angry:
1-Ukienda kwa Jirani kila siku kuna mtu anamdharirisha Wema mara ohoo Michirizi/Malaya na mengine ya Binafsi Meeengi mbona hamlalamiki ??
2-Ukiingia Hapa JF watu kutwa mnawasema watu kwa mambo Binafsi , Mlimsema Waziri wa Mbuga zetu kazaa na Msanii wakati Mkijua anamke mwenye Moyo kama nyie ! Mbona hamkushikwa ?? achilia mbali Wanasiasa kutwa kutukanwa mara ukoo wa Panya , na mambo meengi woote tunayafahamu
Jamani tuache Unafiki , kama swala ni kusema Hovyo Mitandao yooote inakiuka hiyo kasoro Michuzi na Milard tu , Tuache Unafiki Wabongo , Walau yeye Pamoja na hayo huwa kuna ya Maaana anauthubutu wa Kuyasema .....Msimsakame upande mmoja tu , Tuwe Wa Kweli Kabisa , na kitu Kizuri Hajifichi ...By the way Mange anafamilia kubwa atakapohitaji Mchango wetu , tupo Tayari
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI NA USTAWI WA U-TURN
Ww uliyeniita mm boya umenisifia au?
wengi basi mpo ktk payroll ya mange, alipokuwa police hamkutokea why? nyapuzz tu