Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Mange ametoka kwa dhamana nilihisi baada ya kuona ID moja mpya imeingia humu kumtetea...lol

Thanks to mlezi wake.

Le mutuz nae karusha picha yupo kule live anatuletea breaking news

ILA alishalala hapo kituoni ndo akatolewa ,right?maanake wengine tuko porini huku.
 
Mimi ni mwamme.
Kumbe umeona yapo maneno ya kufichwa sio

me sisapoti matusi ata huyo mange wenu simsapoti mitusi yake dats y nimeshangaa ulivyofunguka vile bila uoga.
Btw me pia mwanaume ila sipendi kuona wanawake wanavunjiwa heshima coz ndio mama zetu na dada zetu ila sio kesi pamoja mkuu
 
me sisapoti matusi ata huyo mange wenu simsapoti mitusi yake dats y nimeshangaa ulivyofunguka vile bila uoga.
Btw me pia mwanaume ila sipendi kuona wanawake wanavunjiwa heshima coz ndio mama zetu na dada zetu ila sio kesi pamoja mkuu

Am sorry.
Ila huyu natamani kusema zaidiii...ivi nyapu ni term ngeni sana!
 
Huyu demu ni kichwa kigumu,naona amerudia kupost instagram yake kuwa this country is so corrupt na issue imepangwa na january. Makamba, dem kajichoka huyu
 
mnamuanza wenyew halafu mnabaki kulialia. mange hajawah andika ya uongo, sema anaandika ya uvunguni watu wasiopenda yajulikane. kumfungulia kisa ni mtu kutaka kuanikwa zaid hata yaliyositiriwa!

#freedom of speech

#supportmange
 
Huyu lazima afungwe tu ,, Amemtukana sana Lowasa bila sababu,, Tutahakikisha hachomoki na hii kesi,,

Amemtukana au kaongea ukweli? Ndo maana watanzania tofauti ya wenye nacho na wasio ni kubwa, eti kwa vile ni Lowasa ukweli usisemwe, mbona obama anasemwa sana US ushaona anafanya upumbavu km huu wa viongozi wetu uchwara? Asisemwe yeye ni malaika? As long as ur a piblic figure kukosolewa na kuambiwa ukweli kupo... tumechelewa sana waTz
 
Huyu demu ni kichwa kigumu,naona amerudia kupost instagram yake kuwa this country is so corrupt na issue imepangwa na january. Makamba, dem kajichoka huyu

Screenshot, wengine tumeblokiwa kwa kumpa ukweli wake.
Huyu mtu hakomi...
Cc: warumi
 
Last edited by a moderator:
Hapo.kwa wema hapo......

Ingekuwa wanashtakiwa kule jukwaa la celebrity robo tatu ya memba o'bey polishi poshti.....

Tukija kwa wanasiasa... yelewiiii jf ingefungwa kitamboooooo


Noona Umeniita , nimekuja , swala sio kumtoa swala ni kuona Sheria inafanya kazi yake kwa sababu ni yeye tu ndio anasema watu :A S angry:
1-Ukienda kwa Jirani kila siku kuna mtu anamdharirisha Wema mara ohoo Michirizi/Malaya na mengine ya Binafsi Meeengi mbona hamlalamiki ??
2-Ukiingia Hapa JF watu kutwa mnawasema watu kwa mambo Binafsi , Mlimsema Waziri wa Mbuga zetu kazaa na Msanii wakati Mkijua anamke mwenye Moyo kama nyie ! Mbona hamkushikwa ?? achilia mbali Wanasiasa kutwa kutukanwa mara ukoo wa Panya , na mambo meengi woote tunayafahamu

Jamani tuache Unafiki , kama swala ni kusema Hovyo Mitandao yooote inakiuka hiyo kasoro Michuzi na Milard tu , Tuache Unafiki Wabongo , Walau yeye Pamoja na hayo huwa kuna ya Maaana anauthubutu wa Kuyasema .....Msimsakame upande mmoja tu , Tuwe Wa Kweli Kabisa , na kitu Kizuri Hajifichi ...By the way Mange anafamilia kubwa atakapohitaji Mchango wetu , tupo Tayari

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI NA USTAWI WA U-TURN
 
Ww uliyeniita mm boya umenisifia au?

Ngoja nikusaidie please boya maana yake ni super mbulula extremly mshamba aka wa kuja zoba jinga jinga sanaaa mshamba wa kupindukia kilaza asiyejielewa so u can now face the Damn nigga who called u boya
 
Back
Top Bottom