Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Juzi hapa alikuwa anamtukana Lowassa, Kingunge, January Makamba, Mke wa Mengi, Ridhiwani Kikwete na wengineo pia amekuwa akitukana watu yaani wananchi ovyo kwenye blog yake na pia kutoa masiri ya waliokuwa rafiki zake na za makampuni waliyofanyia kazi habari nyeti.
Jana kaleta habari ya kutishiwa na bunduki ila hatujasikia ya upande wa pili wala mashaidi so inasadikiwa na chumvi kaongezea katika maelezo yake.
Duh
Yani alishazidi mno kuzalilisha watu kisa walikua marafiki basi kweli blog yake ilizidi Mara atukane watu, hvi akiambiwa apeleke ushahidi wa anayoandika anazo evidence kweli. Huwa simuelewi haogopi yoyote eeh huwa anaandika tu kuongea yenyewe ni kigugumizi.Ebwanaeeeh! i expect this,huyu mama mpaka hapa kaisha, haiwezekani utukane watu halafu ujilete huku eti ni nchi yangu siogopi lolote! Angebaki USA tu. Pole mange zigo hilo mpaka ulitue!
Ila kweli huyu mtu ndo awe mbunge? Perish the thought!
Afadhali hata Wema Sepetu aisee.
Hii mibunge ya ccm mwaka huu vituko, Kwanini hivi viti maalumu visifutwe? Naona wabunge wengi wa hivi viti hawajitambui kabisa kupoteza pesa bila sababu ya msingi
Sio kampein tu , humo mjengoni wakati wakuchangia hoja iliyoletwa na Chadema, si yule dada yangu ataonekana profesa kabisa, hata yule mchawi ataonekana ana akiliHahaha hapo ukiongezea
Wema Sepetu
Shilole
Mange
Hapo sipati picha ya WABUNGE hao wakati wa Kempeni zao
Jana, alifikia Kituo cha Polisi Oysterbay kuripoti tukio la yeye kutishiwa Bastola hadharani na Abdul Nsembo, Mume wa Fashionista maarufu, Shamim Nsembo wa 80/20 Fashion Blog..
Movie ndio kwaanza imeanza..
View attachment 268670
usipende kuchukia watu bila kupata nafasi ya kuwafahamu au kuyaelewa kwa kina wanayoyazungumza au kuyaandika, jifunze kufikiri kwa mapana, utaishi kwa amani sana hapa duniani..chuki ikijaa moyoni unapata magonjwa pia, jali afya yako kwa kua na amni na watu muda wote.Namchukia sana huyo dada..anapenda sana chokochoko na watu
She is so wicked lock her away and throw the key in the middle of the ocean anakandia bongo alafu leo anautaka ubunge my foot
usipende kuchukia watu bila kupata nafasi ya kuwafahamu au kuyaelewa kwa kina wanayoyazungumza au kuyaandika, jifunze kufikiri kwa mapana, utaishi kwa amani sana hapa duniani..chuki ikijaa moyoni unapata magonjwa pia, jali afya yako kwa kua na amni na watu muda wote.
...tolerable if that be the only place she spews!...and spew drivel on her blog.
...