Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Juzi hapa alikuwa anamtukana Lowassa, Kingunge, January Makamba, Mke wa Mengi, Ridhiwani Kikwete na wengineo pia amekuwa akitukana watu yaani wananchi ovyo kwenye blog yake na pia kutoa masiri ya waliokuwa rafiki zake na za makampuni waliyofanyia kazi habari nyeti.
Jana kaleta habari ya kutishiwa na bunduki ila hatujasikia ya upande wa pili wala mashaidi so inasadikiwa na chumvi kaongezea katika maelezo yake.
Duh
Hawa madada wakitoka huko Nje maisha yakiwapiga,wanakuja humu kutafuta kiki. Asifikirie Jela za USA ni za Bongo