Unaridhiana na nani na kwa nini?Mange kimambi ni mfanyabiashara .
Na wateja wake wakubwa ni ambao hata akiwaambia moja jumlisha 3 jibu lake 20 wanamwitikia.
Pakifanyika maridhiano biashara yake inakufa rasmi.
Hawezi kabisa kuridhia maridhiano
Sijayasema mimi hayo.Kwa akili zako una amini mange ndiye aliye engineer maandamano?
MARIDHIANO?Mange Kimambi, ambaye serikali kupitia Mwanasheria Mkuu ilisema ame "engineer" maandamano, amekataa maridhiano kwa kauli kali.
Kwa ushauri wangu, ujumbe wa serikali kuongea na Mange ujumuishe watu wenye heshma na credibility kutoka nje ya serikali. Uwe wa watu wasionuka damu. Hapo panaweza pakawa pa kuanzia.
Wanajifanya hamnazo,waache waendelee kushupaza shingo!Endeleeni kuwa bize na Mange, vijana wana jambo lao tena 9D.
Mange alihamasisha maandamano April 26 utawala wa Magufuli, nani aliandamana?
Tofauti ya kipindi kile na sasa, watu wamekata tamaa.
Kaeni hivyo mkiamini vijana wanaandamana kwa kuwa Mange kasema. Mkija kushtuka itakuwa too late.
wazee wenyewe ni kina babu Tale?Polepole alisema kuna wazee walikuwa tayari wanajipanga kwa ajili ya maridhiano kabla ya kiini macho kilichoitwa uchaguzi