Kuna haja gani ya kutunishiana misuli, wote tunajenga nyumba moja?turudi mezani kwa maslahi mapana ya taifa.

Kuna haja gani ya kutunishiana misuli, wote tunajenga nyumba moja?turudi mezani kwa maslahi mapana ya taifa.

MendeOLD

Senior Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
196
Reaction score
405
Sio shabiki wa chama chochote cha siasa ila kuna haja ya kuskilizana, nikiangalia machafuko ya uko Congo, Msumbiji, bado tuna nafasi ya kua wamoja.

Polisi kusema wamejipanga, raisi kasema yeye ndo amiri jeshi mkuu, waandamanaji nao wanaabaki na msimamo wao, vp kwa sisi wastarabu non. Allied hambao hatufungamani na upande wowote tunaona ni bora mkae mezani kama kuna vifo vitatokea wakati wa uchaguzi kwa ayo maandamano bado nafasi ipo ya kuzungumza.

Mkulima wa kahawa misenyi mkoani Kagera kwa sasa paris, france.
 
Wanaogopa sana tukiamka usingizii huui kuibiwa rasilimali zetu tutawanyonga woote.....tuliombee Taifa waibuke wazalendo halisi RA JK team yake wa......n.....y....ng....kunusuru Taifa
 
Back
Top Bottom