Mange Kimambi amjibu Godbless Lema

Kwa namna Lema mpaka leo hajatekwa inawezekana kweli amefika bei
 
Huwezi kuing'owa ccm madarakani kwa sasa abadani, ni lazima uingie kwenye mifumo ya serikali hata wale wenye hofu ya kupoteza ajira zao waamini kumbe inawezekana na bado kwa dunia tuliyopo ni win win solution, not winner takes all.

Odinga ndio Baba wa Demokrasia East Africa lakini alikuwa anajuwa namna ya kutumia turufu zake, unaweza ukahold all cards na bado ukawa loser.

Chadema kwanza waelewe hata ipewe kuongoza nchi leo kama zawadi wanaharakati watahamia ccm hii ndio asili yao, sasa Chadema kama chama kifanye maamuzi ya busara, tunatambuwa mchango wa wanaharakati lakini lazima chama kiseme no kuendeshwa nao kama remort kupitia mitandao.
 
Si mnasemaga Lema ni jambazi? Anatekwaje? Kwani Heche na Mnyika wametekwa?
Kati ya heche mnyika na lema hawa viumbe nani ana enjoi life ni wazi hata polisi hawamkamati hovyo hovyo lema ana bei na huwezi juwa anatumikaje hiyo press ilikua ni yakujiongelea yeye tu sio chama
 
Kati ya heche mnyika na lema hawa viumbe nani ana enjoi life ni wazi hata polisi hawamkamati hovyo hovyo lema ana bei na huwezi juwa anatumikaje hiyo press ilikua ni yakujiongelea yeye tu sio chama
Hao wote wamekuwa Wabunge wa JMT, Mnyika ni GS wa Chadema analipwa mshahara na chama, enzi ya Dr Slaa alitaka mshahara wa kibunge sijui Mnyika analipwa ngapi, Heche ni VC anastahiki zake posho za safari na ana ukwasi wake, point yako ni nini?
 
Kwanza thibitisha kwamba CHADEMA inaongozwa na Wanaharakati. Wakati huo huo usisahau kwamba Lissu sio Mbowe!
 
This is totally beside the point.
I just want to see convincing evidence.

Mange hawezi kukutana na huyu shetani mdogo, angalao hata picha moja ikaonekana. Just something to support the allegation.

Hatuwezi kila mara kuwa tunaimba tu, huyu AAbdul kafanya hivi au vile.
In the case of Lissu, there was at least supporting evidence of the visit, na akina, nani yule mjaluo Wenje alikiri kuwa walimtembelea Lissu.
The rest of the dots were easy to connect.
 
Hao wote wamekuwa Wabunge wa JMT, Mnyika ni GS wa Chadema analipwa mshahara na chama, enzi ya Dr Slaa alitaka mshahara wa kibunge sijui Mnyika analipwa ngapi, Heche ni VC anastahiki zake posho za safari na ana ukwasi wake, point yako ni nini?
Inawezekanaje hujanielewa uneelezea vitu ambavyo sijauliza
 
Hizo habari za kuambiwa unamtuhumu alishazisema hapa kabla ya Press ya Lema... Na yote aliyoyasema Lema kayathibitisha kupitia Press ya Mange...
Unamaanisha Mange aliwahi kuweka ushahidi kuonesha Lema anavyotumika?

If yes. Uko wapi huo ushahidi?

Lema kwenye press yake alisema kama yupo mwenye ushahidi kuonesha anavyotumika auweke hadharani ajiuzulu nafasi zake zote.

Tuwekee hapa tuuone..

Mange anaishi kwa habari za kuambiwa, hii ni fact 100% ndio maana kuna wakati huwatuhumu watu kimakosa akipingwa anapotea kama alivyofanya kwa dada yake Lissu.
 
Soft politics=Kulambishwa asali 🤣
Tatizo ni kwamba nyinyi mnao taka hizo siasa ngumu nyote mmejificha kwenye ID bandia na wengine wamejificha Marekani na Nairobi kwa uoga,alafu mnaanza kuwatia walio ground kuwa ni waoga na walba asali kisa kufanya siasa lakini ,kama kweli nyinyi sio waoga jitoeni kwenye hivyo vichaka mlivyo jifichia mje mzipambane hizo siasa ngumu mnazo zitaka tuone uanaume wenu.
 
Unapangilia hoja zako kwa kueleweka vizuri sana, hukurupuki kama wengine.
 
Disinformation
Lissu Ana access na wanasheria fulu na anakula vizuri tu na dawa zake anameza

Decoy inawalaza na viatu
 
Kati ya heche mnyika na lema hawa viumbe nani ana enjoi life ni wazi hata polisi hawamkamati hovyo hovyo lema ana bei na huwezi juwa anatumikaje hiyo press ilikua ni yakujiongelea yeye tu sio chama
Ukweli wa mambo ulivyo, Ndugu Iceberg, ni kwamba unapozitazama nafasi za kisiasa za Heche, Mnyika, na Lema, hakuna kiongozi hata mmoja anayeishi maisha ya raha au starehe ya kisiasa, kwani wote wamekuwa wahusika wakuu wa misukosuko ya kisheria na ukamataji nchini Tanzania. Dhana kwamba Lema hakamatwi hovyo inapingana na rekodi halisi za matukio tangu kipindi cha awamu ya tano hadi sasa, ambapo amekuwa miongoni mwa wanasiasa waliogharimika zaidi kwa kuwekwa vizuizini na hata kulazimika kuishi nje ya nchi.
Ukweli wa historia ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli unaonyesha kuwa Lema hakuwa salama hata kidogo; alikaa mahabusu kwa siku 110 mfululizo katika Gereza la Kisongo baada ya kunyimwa dhamana, jambo lililomfanya asherehekee sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya akiwa selini huku shughuli zake za kiuchumi zikisimama. Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, usalama wake uliingia hatarini kiasi cha kumlazimu kukimbilia nchi jirani ya Kenya ambako alikamatwa kabla ya kuelekea uhamishoni nchini Canada, hatua iliyomweka mbali na siasa za ndani ya nchi kwa takriban miaka miwili.
Ukweli wa mazingira ya sasa chini ya awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan unathibitisha kuwa Lema bado yumo ndani ya rada za vyombo vya dola, kwani amekuwa akikamatwa na kuzuiliwa mara kwa mara pindi mivutano ya kisiasa inapojitokeza mkoani Arusha na maeneo mengine. Hakuna upendeleo anaopewa na jeshi la polisi; badala yake, uwepo wake wa mara kwa mara kwenye mstari wa mbele wa maandamano na mikutano ya hadhara unamfanya aendelee kuwa mhanga wa ukamataji na vizuizi vya kisheria sawa na viongozi wenzake kama Mnyika na Heche.
Ukweli wa muktadha wa mkutano wake na waandishi wa habari (press conference) ni kwamba ulikuwa ni mkakati wa lazima wa kujilinda binafsi dhidi ya tuhuma za usaliti zilizosambazwa mtandaoni na Mange Kimambi, ambazo zilitishia kuua mtaji wake wa kisiasa. Lema alilazimika kutumia jukwaa lile kusafisha jina lake kwa kuweka dau la kujiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya CHADEMA ikiwa kuna mtu yeyote mwenye ushahidi kuwa 'amenunuliwa' au anatumika, hatua ambayo ilikuwa na lengo la kurejesha uaminifu kwa wafuasi wake na chama chake kwa ujumla.
 
Online rats hawatakuelewa

Bahati mbaya wengine ni wasomi kabisa Kiranga
 
Disinformation
Lissu Ana access na wanasheria fulu na anakula vizuri tu na dawa zake anameza

Decoy inawalaza na viatu
Kuanzia lini, tunahakikishaje unachosema ni kweli na siyo disinformation yenyewe?
 
Kuna mtu alijaribu kumfananiaha Lema na Joe Slovo.

Nilisikitika sana na kumuweka sawa.

Joe Slovo was negotiating from a position of power, he was Umkontho we Sizwe's bombmaker.

Lema is begging Samia for Mercy.

The two are very different things.
 
Ndugu denoo G, uko sahihi kabisa kwa asilimia mia moja: Mange anaishi kwa habari za kuambiwa na hadi leo hajaleta ushahidi (proof) wowote wa maana unaothibitisha kuwa Lema amenunuliwa, ndio maana Lema alithubutu kuweka dau la kujiuzulu nafasi zote ikiwa uthibitisho utatoka.
Tabia hii ya Mange kurusha tuhuma bila uthibitisho inajirudia kama alivyofanya kwa dada yake Tundu Lissu (Mchungaji Rose Masesa), pale alipozusha kuwa anahifadhiwa kwenye hoteli ya kifahari ya Sea Cliff na serikali, uzushi uliopingwa na kusambaratika baada ya dada huyo kuthibitisha kuwa anafikia nyumbani kwa watoto wake.
Kiweledi, mtindo huu wa Mange wa kukimbia mijadala na kuhamia kwenye drama mpya pindi anapobanwa kutoa ushahidi unathibitisha kuwa anachochea majungu ya mtandaoni yasiyo na ukweli, na huwezi kupima uaminifu wa wanasiasa waliosota gerezani kama Lema kwa maneno ya uzushi yasiyo na thibitisho.
Inashangaza na sijui kwanini bado watu wanaendelea kumuamini huyu Mange hata baada ya kuonekana wazi alimzushia dada wa Tundu Lissu. Huu ni uthibitisho kuwa sehemu ya jamii bado inavutiwa zaidi na udaku na mihemko ya mitandaoni kuliko ukweli na ushahidi unaoweza kuthibitika.
 
Online rats hawatakuelewa

Bahati mbaya wengine ni wasomi kabisa Kiranga
Lema is begging Samia for mercy.

The ANC started Umkontho we Sizwe, bombed the apartheid power structure and organized a successful global apartheid boycott, then negotiated from a position of power.

The two are not the same.

Do not confuse them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…