Mange Kimambi amjibu Godbless Lema

Mange Kimambi amjibu Godbless Lema

Nimesoma yote huko juu kwa umakini mkubwa na heshima nyingi ya yaliyoandikwa huko na kutamani sana Mange aendelee kwa moyo huo huo.
Lakini mara ghafla kabisa, bila ya matarajio, nikafika kwenye hii aya iliyonivuruga akili yote na kurudi kule kule kwa Mange nimjuaye siku zote, na kunivunja moyo kabisa.

Haya mambo ya Abdul haya. Huyu Abdul, hivi yeye ni nani kudharau watu wote kiasi hiki? Hii inawezekana?

Kama Lema amenunuliwa, mwache anunuliwe. LLema hata siku moja hajawahi kuwa mtu mwenye 'conviction' ya chochote.
Sasa wewe Mange, nawe unatueleza habari za Abdul kukutafuta, unavyo vielelezo vyovyote.
Huyu dogo na ushetani wake wote, anao ujasiri wa kununua watu kama bidhaa nyepesi hivi?

Mange, sikiliza. Ukinipa ushahidi usiokuwa na shaka wa wewe kutaka kununuliwa, sitakuwa na mashaka tena na wewe juu ya mapenzi yako kwa taifa letu, na siyo harakati za kutafuta shibe tu.
It's as simple as that. Give us some convincing proof of your being sought as a commodity by that ruffian, evil boy.
Wewe kubali Lema kwa sasa ni shetani ndani ya chadema
 
Swali ni je, who the hell are you hadi aangaike kukuthibitishia?
 
Umeongea la maana sana mkuu,wacha aendelee kuwaokota mazuzu ,nawachukia sana wanaojiita wanaharakati huku wakishindwa kucheck and balance mambo kwa mizania ya uhalisia.

HIvi mropokaji kama Mange afatwe marekani na mtu kama Abdul halafu akae kimya? Thubutuuuu 😂
Haina hata haja ya kumuomba ushahidi maana kama angekuwa nao angeshakuwa kautoa mapema sana kabla hata ya kudai kutaka kununuliwa (Manamjua 😂).

Wanaharakati uchwara uchwara 🚮😎
#YetuMawaniTu
Watekaji na Wauaji huwachukii? Maana ndo wanachopinga hao Wanaharakati.
 
Kutoka jijini Los Angeles huko Marekani, Mwanaharakati na Dada wa Taifa Mange Kimambi amemjibu Godbless Lema ambaye anadaiwa kulamba asali na kutuhumiwa mitandaoni kwa usaliti.

Ameanza kwa kusema Moja ya vitu Chadema imejijengea katika jamii ni kwamba wanapigamia utawala wa Sheria. Kwamba wanapigania HAKI, Ila Lema kwenye PRESS yake ya Jana ni wazi ameona ni vyema apitie njia za PANYA. Njia za kupigiana simu na kuongea na wakubwa fulani. Njia za kuomba huruma kwa wauwaji, njia za Kuwapigia magoti watekaji, Serekali haramu.

Mange ameendelea kusema LISSU yuko ndani mpaka sasa hivi kwasababu anapigania utawala wa Sheria. Angetaka kutoka kwa huruma za watu angeshatoka Kitambo sana.

Mange ameenda mbali na amekumbushia kuwa Mbowe ambaye aliingia JELA na Mbowe aliyetoka jela
walikuwa ni watu tofauti kabisa kwa Sababu alitoka Jela kwa huruma za Samia Suluhu ndiyo maana alipotoka akaamua kuiuza CHADEMA, gafla akaanza kuimba mapambio.

Akaendelea kusema kuwa LEMA anataka LISSU naye atoke jela kwa huruma za Samia ili naye akauze CHADEMA.
Mange ameendelea kusema LEMA ameshafika bei, sasa anajaribu kuimaliza CHADEMA.

Kwa uchungu mkubwa Mange ameendelea kusema Abdul anamdharau LEMA kupita kawaida, anamuona LEMA ni mshamba na poyoyo hasa baada ya kutetemeka alipopewa maburungutu ya pesa za damu. Mange amedai pamoja na Lema kumtusi na kumuita Mpumbavu bado heshima yake iko pale pale na kwamba Abdul ana muheshimu yeye Mange kimambi kupita kawaida. MANGE amedai Abdul alivyomfuata huko Marekani aligoma kuhongwa, alisimama kidete ila LEMA kanunulika.

Amedai kuwa LEMA akiziona hela za Abdul anatetemeka mpaka Abdul anamuona mshamba, anamcheka na kumuona popompo. Mange amedai kuwa Abdul ambaye ameishia darasa la nne amemteka LEMA kiakili kiasi LEMA amekuwa poyoyo. Kile ambacho Lema anaita ni Strategic Engagement ni janja tu maana ameshafika bei.

My take: Mange ameacha maswali ya msingi sana.
Je, imekuwaje chama kinachodai haki na sheria, mmoja wa viongozi wake anaenda kuomba huruma kwa wale wale wanaotakiwa kuwajibika kwa mujibu wa sheria?

Basi watu watafakari, wakisema: Je, haki hudaiwa kwa sheria, au hutegemea huruma ya wenye mamlaka?
Ukiona Lema anaongea, utajua ni mpumbavu au mtu asiye na akili hata kidogo. Anazungumza pumba tu. Anadhani sisi tunataka kuona Makende yake. Hajui hata maana ya kuwa na balls. Lema si mara ya kwanza kununulika, hata uchaguzi wa kwanza wa ubunge alioshinda, alimpasia Batilda Burhani, leo tena sijui anafanya nini?
Eti tuwapende Police wa Tanzania? Kwa lipi hilo? Hao wauaji walioua ndugu zetu? THUBUTU!
Ameshalishwa pesa za Abdul, ameingia kingi.
 
Back
Top Bottom